Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Karma has never missed the adress.

The soup is getting hot [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kuna utofauti wa Kifikra kati ya Kiongozi Msomi na Asiye Msomi. Jamii inahitaji Viongozi wasomi Zaidi!
Utofauti wa Madaraka ni Matokeo tu!
 
Kama ni kweli kwamba vifaa vilivyoletwa ni kwa matumizi ya walimu nashauri busara itumike. Kwa kuwa Serikali bado inalo jukumu la kuwapatia walimu vifaa kama hivyo vilivyoletwa, basi waangalie dhamira iliyotumika mpaka vifaa hivyo kupatikana ili kuamua: ama kuvipokea au kuviacha, kwa kujua kwamba vifaa kama hivyo vitapatikana kwa njia nyingine. Hitaji la vifaa hivyo kwa walimu bado lipo pale pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli we ni redio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…