Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Karma has never missed the adress.

The soup is getting hot [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kuna utofauti wa Kifikra kati ya Kiongozi Msomi na Asiye Msomi. Jamii inahitaji Viongozi wasomi Zaidi!
Utofauti wa Madaraka ni Matokeo tu!
 
Kama ni kweli kwamba vifaa vilivyoletwa ni kwa matumizi ya walimu nashauri busara itumike. Kwa kuwa Serikali bado inalo jukumu la kuwapatia walimu vifaa kama hivyo vilivyoletwa, basi waangalie dhamira iliyotumika mpaka vifaa hivyo kupatikana ili kuamua: ama kuvipokea au kuviacha, kwa kujua kwamba vifaa kama hivyo vitapatikana kwa njia nyingine. Hitaji la vifaa hivyo kwa walimu bado lipo pale pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda anapambana kwaajili ya wananchi husan wa DSM.Jitihada zake zimeonekana kwa mambo mengi lakin kunawatu wamejaa chuki dhidi yake .

Namtia Moyo Makonda, Endelea kupambana kwakua watu wanaona juhudi zako atakama baadhi wanachukia mafanikio yako ila wanaelewa mchangowako.
Kumbuka ata wana wa Israel walilazimisha Baraba mhalifu mkubwa achiwe huru ila Yesu aliye watendea mema muda wote asulubiwe hayo ndio ya ulimwengu huu. Chapakazi braza mwisho utavishwa taji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli we ni redio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom