Aiseee and yet he has the audacity to go to church and threaten ?? Inahitaji moyo wa chuma kweli kuwa na huu usafiri, tena kwenye nyumba ya mungu na mbele ya viongozi wa dini!!!conformation. kilichomo kwenye makontena ya makonda pale bandarini ni fenicha za hotel yake hapo mwanza.. ndo mana kil siku tunasema huyo anayeitwa mwadilifu sio mwadilifu sio hivyo.tuone kwenye hili atafanyaje?
TRA wamejaribu kuyapiga mnada lakini wamekwama?Taarifa huripotiwa kwenye vyombo vya habari kama runinga, redio, magazeti, majarida na mitandao ya kijamii. Iliporipotiwa taarifa ya uingizwaji na uwepo wa makontena yenye jina la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda mwanzoni iliripotiwa kuwa Makonda 'aliyakana' makontena hayo.
Baadaye, ripoti zinadokeza kuwa RC Makonda 'aliyatambua' makontena hayo yaliyokuwa mikononi mwa TRA na kudai kuwa yalikuwa na samani za shule za mkoa wa Dar es Salaam. 'Akatishia' hata 'kuwashtaki' TRA kwa Rais. Mambo yakawa kimya hadi sasa inaporipotiwa kuwa TRA wamejaribu kuyapiga mnada bila mafanikio.
Sasa inaarifiwa kuwa RC Makonda amekwenda kanisani 'kufanya maombi maalum' ya kukwamisha mnada wa makontena yake. Ametishia kuwa yeyote ambaye atayanunua atapata laana! Kimsingi, ni Dhahiri sasa kuwa RC Makonda anayatambua na kuyapigania makontena yake. Makontena hayo yana nini hasa? Kwanini yalikuja kwa jina lake?
Namsihi RC Makonda, katika hili la makontena yanayoshikiliwa na TRA, aeleweke. Aiache TRA ifanye kazi yake na si kutaka kuionyesha TRA kama iliyo kwenye 'mission' naye kuyahusu hayo makontena. Mnada ufanyike na mambo mengine yaendelee. Namsihi RC Makonda kuacha pia kuwatisha 'kimaombi' wateja wanaotaka kuyanunua makontena hayo.
Kazi njema wakuu wote!
Thubutu, labda awe ametoka darakaniKwan makonda ni nan hasa kias kwamba awanyime uhuru taasisi kubwa ya kiserikali kufanya kazi zake kwa uhuru?
Kuna mambo mengine viongoz Wetu wanafanya kias kwamba unajiuliza uyu mpaka leo anafanya nin kwann asipangiwe kazi nyingine ya kufanya au apigwe tuu chin..!!!!
Uyo jamaa kwa jinsi magu anavyo mlea ipo siku atakuja toa kauli za dhiaka kwa rais na uwongoz wake....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona mpango kasema vizuri tu kwamba kisheria, ofisi za tawala za mikoa hazipewagi misamaha? Inamaana hata kama angeweka RC Dar, bado ingetakiwa kodi.Kama ni makontena ya Serikali wala hakunaga tatizo unatoa bila hata senti tano, hapo kuna tatizo tu, kwa nini hakuandika Jina la Ofisi yake? angeandika Regional Commissioner, Dar es Salaam unafikiri angetumia nguvu yaani yangeenda kutolewa kiulaini na maofisa wake.
Siyo kwa staili hii.Anatafuta huruma
nachomkubali bashite hana aibu
Factsomething fishy,mbna hayo madeksi ya kawaida sana,hata hapa nyumbani yanaweza kutengenezwa,Makonda umeingia katika deal la kuletewa vifaa huku kuna percentage uliahidiwa,otherwise ungeweza kuwapa watanzania kazi hio ya kutengeneza hayo madawati...…..ungejinyamazia tu baada ya kuwekwa uchi...wewe ndio kwanza unatia mkwara
Kama malengo yako na ya Rais yanashabihiana na kuendana haikufanyi wewe kuwa Rais.Malengo ya Makonda na TEA yanashabihiana kuhusian na hayo makontena; sasa kuliko mimi niyanunue nipeleke kwenye shule zanfu Uganda si bora TEA wakafanya hivyo?LOL
Wapinzani uchwara walikuwa wanasema ati makontena yamejaa samani za majumbani pamoja na Toyota SUV moja,lakini kwa sasa yameshafunguliwa wamekuwa wakimya sana...Wapinzani Uchwara acheni fitna.
Uwezi kukaa kimya lakini ni lazima uachie sheria ifuate mkondo wake! Unaweza pia kumfuata yeyote aliye juu ya sheria na kumuomba awawajibishe TRA kwa kukusumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo zero brain yeye ndio mwenye laanaTaarifa huripotiwa kwenye vyombo vya habari kama runinga, redio, magazeti, majarida na mitandao ya kijamii. Iliporipotiwa taarifa ya uingizwaji na uwepo wa makontena yenye jina la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda mwanzoni iliripotiwa kuwa Makonda 'aliyakana' makontena hayo.
Baadaye, ripoti zinadokeza kuwa RC Makonda 'aliyatambua' makontena hayo yaliyokuwa mikononi mwa TRA na kudai kuwa yalikuwa na samani za shule za mkoa wa Dar es Salaam. 'Akatishia' hata 'kuwashtaki' TRA kwa Rais. Mambo yakawa kimya hadi sasa inaporipotiwa kuwa TRA wamejaribu kuyapiga mnada bila mafanikio.
Sasa inaarifiwa kuwa RC Makonda amekwenda kanisani 'kufanya maombi maalum' ya kukwamisha mnada wa makontena yake. Ametishia kuwa yeyote ambaye atayanunua atapata laana! Kimsingi, ni Dhahiri sasa kuwa RC Makonda anayatambua na kuyapigania makontena yake. Makontena hayo yana nini hasa? Kwanini yalikuja kwa jina lake?
Namsihi RC Makonda, katika hili la makontena yanayoshikiliwa na TRA, aeleweke. Aiache TRA ifanye kazi yake na si kutaka kuionyesha TRA kama iliyo kwenye 'mission' naye kuyahusu hayo makontena. Mnada ufanyike na mambo mengine yaendelee. Namsihi RC Makonda kuacha pia kuwatisha 'kimaombi' wateja wanaotaka kuyanunua makontena hayo.
Kazi njema wakuu wote!
INASIKITISHA sana serikali yaani TRA kumhujumu Makonda ili hali ni jasho la wana DIASPORA waliojitolea kwa ajili ya maendeleo ya wa Dar es salaam , watu wamejinyima ili kuletea watanzania maendeleo na sasa yanakwamishwa kwa sababu ya wivu sie wana diaspora mnatuvunja moyo kabisa .Tuanaomba kwa dhati Rais aingilie kati jambo hili kwa mstakabali wa maendeleo ya Mkoa wa Dar es salaam. Chonde Mheshimiwa Raisi tuko chini ya miguu yako tusaidiwe tumalize jambo hili mkoa wa Dar ufaidi matunda ya wana Diaspora.
Wewe ni mteja nini unaogopa maombi ya bashiteTaarifa huripotiwa kwenye vyombo vya habari kama runinga, redio, magazeti, majarida na mitandao ya kijamii. Iliporipotiwa taarifa ya uingizwaji na uwepo wa makontena yenye jina la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda mwanzoni iliripotiwa kuwa Makonda 'aliyakana' makontena hayo.