Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Alipe kodi tu aache kulialia, baba yake amekaa pembeni KODI anataka na TAGI anataka kumpa ila ndohivyo, kumbuka sakata la mafuta bandarini aliishia kusema "Yalipiwe kodi yaende kwa wananchi wakatumie" sasa hapa naomba tutumie huuhuu msemo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza salaam zako Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,

Tumefuatilia suala ilo na kuguswa na namna ambavyo juhudi zako zimegonga mwamba za kuhakikisha walimu wanapata teaching aids na wanafunzi wanapata learning materials,

Mkuu wa Mkoa sisi ma diaspora tumeguswa sana na jinsi ambavyo makontena hayo uamezuiwa mbaya zaid kuna vi kashfa fulani fulani tunaomba uweke Sawa taarifa hizi ili utupe imani ya kuchanga bila wasiwasi,

1. Tunaomba tujue idadi ya makontena yaliyotumwa na mangapi yameshatoka bandarini mangapi hayajatoka na yaliyotoka yako wapi yametoka lini na yamegawiwa shule zipi?

2. Kwanini usifanye utaratibu kubadili majina yakawa ya wizara ya elimu Tanzania kuliko kuwa na jina lako pale, ili tujiridhishe kwamba nia ni kusaidia elimu na si vingine,

3. Kwanini usiruhusu au usikubali kukaa meza Moja na waziri mkapanga kwamba yauzwe nusu Hela inayopatikana ilipie mengine yatoke na yagawiwe bule,

4. Tuna omba orordha ya watu waliofanya donation na address zao kupitia magazeti ya serikali,

5. Alafu Tunaomba maelezo mbona asilimia kubwa ya furniture zile ndo kama zinazouzwa kwa ajili ya maofisi na receptions au nia yako haikuwa madawati ilikuwa kwa ajili ya Meza tu?


Mwisho utupatie uhamasishaji tuchangie kiasi kitakacho kosa makontena yatoke yakabidhiwe wizara ya elimu ndo wagawe hayo madawat na meza


Nathan JR
00069 PGH Finland. Sörnäisten rantatie 18 F Helsinki. H
+380686706696
 
Hahaha kuputia makontena???
 
Sasa kama Diaspora mlimtumia meza za reception, shule zetu huwa hazitumii hizo meza hizo zinakaa kwa masecretary, walimu wanahtaji meza ndefu, na viti, ila ningemkubali vizuri angeagiza kwa mgongo wa shirika la misaada, ila hapa ameshapindisha shortcut sheria inambana. Kodi kwa maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…