Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nia yake nadhani ni kusaidiaKaandika majina ili yajulikane ni juhudi zake sasa wewe unaleta hadithi ya kuyageuza yawe ya wizara ya elima sasa huoni unaenda against na mpango wake wa kujitengenezea publicity kwenye jamii ili ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya ndani then agombee urais
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli nia yake ni hiyo lakini pia nia ya mwanasiasa huwa moyoni mwake tofauti na mnayoiona kwa nje au inayomtoka mdomoniNia yake nadhani ni kusaidia
Unadhani Mpango kakurupuka?Nia yake nadhani ni kusaidia
Ni pm numba yako haraka bibieDuh watu mna Hela ya kuchezea hiyo si bora unipe mimi nikutembelee
Hahaha kuputia makontena???Kaandika majina ili yajulikane ni juhudi zake sasa wewe unaleta hadithi ya kuyageuza yawe ya wizara ya elima sasa huoni unaenda against na mpango wake wa kujitengenezea publicity kwenye jamii ili ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya ndani then agombee urais
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama Diaspora mlimtumia meza za reception, shule zetu huwa hazitumii hizo meza hizo zinakaa kwa masecretary, walimu wanahtaji meza ndefu, na viti, ila ningemkubali vizuri angeagiza kwa mgongo wa shirika la misaada, ila hapa ameshapindisha shortcut sheria inambana. Kodi kwa maendeleoKwanza salaam zako Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,
Tumefuatilia suala ilo na kuguswa na namna ambavyo juhudi zako zimegonga mwamba za kuhakikisha walimu wanapata teaching aids na wanafunzi wanapata learning materials,
Mkuu wa Mkoa sisi ma diaspora tumeguswa sana na jinsi ambavyo makontena hayo uamezuiwa mbaya zaid kuna vi kashfa fulani fulani tunaomba uweke Sawa taarifa hizi ili utupe imani ya kuchanga bila wasiwasi,
1. Tunaomba tujue idadi ya makontena yaliyotumwa na mangapi yameshatoka bandarini mangapi hayajatoka na yaliyotoka yako wapi yametoka lini na yamegawiwa shule zipi?
2. Kwanini usifanye utaratibu kubadili majina yakawa ya wizara ya elimu Tanzania kuliko kuwa na jina lako pale, ili tujiridhishe kwamba nia ni kusaidia elimu na si vingine,
3. Kwanini usiruhusu au usikubali kukaa meza Moja na waziri mkapanga kwamba yauzwe nusu Hela inayopatikana ilipie mengine yatoke na yagawiwe bule,
4. Tuna omba orordha ya watu waliofanya donation na address zao kupitia magazeti ya serikali,
5. Alafu Tunaomba maelezo mbona asilimia kubwa ya furniture zile ndo kama zinazouzwa kwa ajili ya maofisi na receptions au nia yako haikuwa madawati ilikuwa kwa ajili ya Meza tu?
Mwisho utupatie uhamasishaji tuchangie kiasi kitakacho kosa makontena yatoke yakabidhiwe wizara ya elimu ndo wagawe hayo madawat na meza
Nathan JR
00069 PGH Finland. Sörnäisten rantatie 18 F Helsinki. H
+380686706696
So mheshimiwa makonda ni woman? Au mi sijaelewaKwanini usiende kuchangia maendeleo kijijini kwenu
Au ndo kujipendekeza staili!
don't invest in a woman