Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Akili mali.

Unaulizwa juu ya makontena.

Unajibu hutishiki na wanaokuonea wivu juu ya maendeleo ya Dar es Salaam.

Kwa maendeleo gani sasa? Kila project ya Makonda hua na matobo mengi sana hakuna anayeweza kumuonea wivu mtu wa hivyo.
.......! 0 on paper!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipe kodi hamna shortcut ,yangekuja kwa jina la ofisi ingependeza zaid;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasahau kusema kuwa vita ya madawa ya kulevya ndio imesababisha yote haya.

Na mkoa unafanya vizuri?
Mkoa upi mbona rais alisema kuwa mapato ya dsm yalizidiwa hata na dodoma
Au tuna rais zuzu zaidi ya Makonda?

Na ni kabisa gani hilo ambalo Lilimruhusu Makonda kuongea ushuudhi?
 
Hzo style za kuingza vitu kwa mgongo wa kanisa ,msikiti au ofisi fulani ili kukwepa kodi zimefanyika sana awamu ya nne ;

Hapa kazi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…