Hata mpango na TRA ni Chadema.Wewe utakuwa unashonwa wewe sio bureChadema wana wivu sana na Makonda lakini mkae mkijua amewaacha mbali sana na saco cos yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hali kama hiyo, na sheria za aina hiyo it is better to live in a lawlessness, that all, what good are the laws and regulations which hinders development ? ?.
The laws are for developments, and we are not robots, we are human beings with intelligence and wisdom, they need to sit down and settle the dispute rationally, that is the distinctive feature between human beings and animals.
"Wisdom is better than law"
We bure kabisa kwani chadema ndo wameyazuia makontena, a silly comment.Chadema wana wivu sana na Makonda lakini mkae mkijua amewaacha mbali sana na saco cos yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwa zilikuwa contena 36!Maswali mawili unayopaswa kujiuliza. SWALI NO 1 inakuingia akilini kuwa diaspora waishio marekani wakakuchangia vifaa vya elimu kontena ishirini? SWALI NO 2 unao uhakika kuwa kwenye hayo makontena ishirini kuna hizo samani za shule peke yake? NOTE, TRA na waziri hawajakurupuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kijana unaongozwa na tumbo Sikh hizi au ni miongoni mwa wale waliopewa teuzi hivi karibuniKwanza kwa mlio walimu mtanielewa ninaposema waziri kakurupuka wala hazijui changamoto za elimu
ukisikiliza kwa umakini kwenye hotuba yake ya juzi utagundua kabisa aelewi anachokiongea...
Anaongelea maswala ya elimu bure kitu ambacho ni nje kabisa ya mada ya makontena
swala hapa ni vifaa kwa ajiri ya kusaidia elimu ya dsm ambayo ina changamoto nyingi ikiwa na mrundikano wa wanafunzi na mambo kibao
Makonda inawezekana kuna sehemu alikosea katika mchakato huo lakini serikali walitakiwa kuwa wajanja wangeruhusu kwanza vitu viingie ndio waanze kuvimonitor wapate ushahidi wa kutosha ndio waje kumtuhumu.
matokeo yake wananchi nao wameyabeba na kusahau watoto wao ndio wanakaa chini milele
mimi niko na ushahidi kabisa nilienda shule moja na taasisi fulani kutoa msaada wa computer lakini unakuta walimu stafu viti tu vya kukalia haviwatoshi hii ni aibu kama mwalimu hana kiti stafu mwanafunzi je darasani itakuwaje?
tukiweka siasa pembeni Makonda yupo sahihi kabisa na ana nia njema ingawa anaweza kuwa kafanya makosa kutumia jina lake kwa ushauri mbovu wa watendaji waliopo chini yake lakini naamini tatizo letu la elimu ni kubwa mno kuliko jina la makonda kuwa kwenye makontenana hili swala tunalibabe kishabiki sana kama kawaida yetu...
kwamba mimi ni chadema Gambo akifiwa na mzazi wake nashangilia, mimi ni ccm Sugu akipata msiba nashangilia upuuzi mtupu.
Hivi waziri anavipiga mnada vitu vya shule za dsm watu tunashangilia leo halafu kesho jangwani secondary inakuwa ya mwisho tunaanza kumponda makonda ...
Hivi vitu vikinunuliwa na wafanya biashara sisi wananchi wa kawaida tutafaidika vipi direct kama ambavyo tungeviona kwenye shule zetu? namimi naongeza na alaaniwe kabisa atakae vinunua.
"Form four wanakaribia pia kuanza mtihani msisahau kuleta mrejesho hapa wa shule za umma"
Nakubaliana na wewe, ila nikileta yale makontena yangu nayotaka kuyaleta kwa jina langu mtanitetea maana napenda pia nikatoe misaada na mimi pia, au mtanikimbia kwakuwa mimi sio Makonda?Kwanza kwa mlio walimu mtanielewa ninaposema waziri kakurupuka wala hazijui changamoto za elimu
ukisikiliza kwa umakini kwenye hotuba yake ya juzi utagundua kabisa aelewi anachokiongea...
Anaongelea maswala ya elimu bure kitu ambacho ni nje kabisa ya mada ya makontena
swala hapa ni vifaa kwa ajiri ya kusaidia elimu ya dsm ambayo ina changamoto nyingi ikiwa na mrundikano wa wanafunzi na mambo kibao
Makonda inawezekana kuna sehemu alikosea katika mchakato huo lakini serikali walitakiwa kuwa wajanja wangeruhusu kwanza vitu viingie ndio waanze kuvimonitor wapate ushahidi wa kutosha ndio waje kumtuhumu.
matokeo yake wananchi nao wameyabeba na kusahau watoto wao ndio wanakaa chini milele
mimi niko na ushahidi kabisa nilienda shule moja na taasisi fulani kutoa msaada wa computer lakini unakuta walimu stafu viti tu vya kukalia haviwatoshi hii ni aibu kama mwalimu hana kiti stafu mwanafunzi je darasani itakuwaje?
tukiweka siasa pembeni Makonda yupo sahihi kabisa na ana nia njema ingawa anaweza kuwa kafanya makosa kutumia jina lake kwa ushauri mbovu wa watendaji waliopo chini yake lakini naamini tatizo letu la elimu ni kubwa mno kuliko jina la makonda kuwa kwenye makontenana hili swala tunalibabe kishabiki sana kama kawaida yetu...
kwamba mimi ni chadema Gambo akifiwa na mzazi wake nashangilia, mimi ni ccm Sugu akipata msiba nashangilia upuuzi mtupu.
Hivi waziri anavipiga mnada vitu vya shule za dsm watu tunashangilia leo halafu kesho jangwani secondary inakuwa ya mwisho tunaanza kumponda makonda ...
Hivi vitu vikinunuliwa na wafanya biashara sisi wananchi wa kawaida tutafaidika vipi direct kama ambavyo tungeviona kwenye shule zetu? namimi naongeza na alaaniwe kabisa atakae vinunua.
"Form four wanakaribia pia kuanza mtihani msisahau kuleta mrejesho hapa wa shule za umma"
Ndo hiki kinachoniumiza kichwa, je kila mwananchi akiamua kuleta makontena yake kwa staili hiyo hiyo mtaturuhusu au sheria sio msumeno na haiangalii sura, km mtaruhusu badi mruhusu makonda free kiroho safi na sisi tuna ndugu diaspora wapo tayari kutuma makontena kwa majina yetu, just say its OK and we flood misaada nchiniTusipindishe sheria kwa mgongo wa huruma kila mtu akija kwa njia hiyo nani atalipa kodi?
Kwanini hujawahi kutetea kodi ambazo zinawaumiza wananchi wa kipato cha chini na hata kupandisha gharama za maisha yao leo unamtetea mtu mmoja ambaye kwa mujibu wa taratibu amekiuka na sheria inachukua upande wake kwanini kwa huyu sheria unataka iwe na huruma kwa wengine isiwe nayo?
Acha sheria ifuate mkondo wake ili na wao wafeel namna inavyoumiza huenda watapata uelewa wa kutunga sheria vizuri
Kwa hili hatuna haja ya kupepesa macho sheria iachwe ifuate mkondo wake na sijui kwanini imekuwa na mjadala mrefu hivi wakati issue iko wazi na taratibu zipo huo mzigo upigwe mnada tu ikishindikana basi vigawiwe tu ili iwe fundisho kwa wengine ambao watataka kujinufaisha kwa kupitia njia hiyo.Ndo hiki kinachoniumiza kichwa, je kila mwananchi akiamua kuleta makontena yake kwa staili hiyo hiyo mtaturuhusu au sheria sio msumeno na haiangalii sura, km mtaruhusu badi mruhusu makonda free kiroho safi na sisi tuna ndugu diaspora wapo tayari kutuma makontena kwa majina yetu, just say its OK and we flood misaada nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wakibadilisha sheria itatufeva wengi tunaopenda kuingiza mizigo, free kodi, kigezo msaada tu and off you goKwa hili hatuna haja ya kupepesa macho sheria iachwe ifuate mkondo wake na sijui kwanini imekuwa na mjadala mrefu hivi wakati issue iko wazi na taratibu zipo huo mzigo upigwe mnada tu ikishindikana basi vigawiwe tu ili iwe fundisho kwa wengine ambao watataka kujinufaisha kwa kupitia njia hiyo.
Maana sheria ipo kwa ajili ya wote na siyo kwa wengine huku wengine wakiwa untouchable
Bill of lading ilishabadilishwa inasomeka jina la ofisi ya mkuu wa mkoaMkuu technically kwanza nakusalimu. Pili, nakushukuru kwa mada yako. Tatu, nami naomba nichangie kuwa Waziri wa Fedha yuko sahihi katika aliyoyasema kwakuwa ameyasema ya kweli. Ametaka sheria ifuatwe na kama kodi ilipwe au mnada ufanyike. Waziri Mpango amesema yaliyo ya kweli. Kwanini makontena yaliyoletwa kwa ajili ya mkoa/ofisi ya Mkuu wa Mkoa yabebe jina binafsi la Mkuu wa Mkoa? Kodi ilipwe au mnada uendelee. Yeye aendelee na 'maombi' yake ya kulaani.
Wisdom Is Not Law. The laws are for development (yet you break em!) why do you need them in such??! nchi/serikali inaendeshwa kwa utaratibu unaotakiwa kufuatwa na sheria. sheria kama haifai kuna utaratibu wa kufuata ibadilishwe. Ni upuuzi to categorize uvunjaji wa sheria wa viongozi ama wanasiasa, wananchi wakivunja nawao for the sake is wisdom is better than law itakuaje?
let me insist on my post,..wisdom is not a law, usijichanganye., is like Proverbs and the Ten Commandments kwa wale waumini wa dini , kuna tofauti. there are no opposite laws or opposite commandments, yet we are all familiar with opposite proverbs. wisdom is only wise when applied correctly in the right situations. we can't read read or interpret Proverbs (wisdom) the same as the Ten Commandments (laws), yet in the fight against ignoring REALITY (kama mnavotaka kuupotosha umma na kuwaaminisha wananchi isivyo), you tend to fear situational wisdom.
Ok, nadhani wewe ni sehemu ya wafanyakazi wa GSM.Hujui ulisemalo! Hizo fanicha ni za GSM
Hakuna mwana-CCM yeyote na uzwazwa wao anayeside na Makonda kwa lolote. Jamaa yupo onely ndani ya chamaKama ni kweli vifaa hivyo ni kwa ajili ya shule, serikali ifanye yafuatayo:
1. ifuatilie kujua vilikotoka na staili iliyotumika kuvisafirisha;
2. Makondo ale kiapo kwamba vifaa hivyo ni kwa ajili ya mashule ya Dar es Salaam ili kuepuka kugeuziwa kibao;
3. ivipe msamaha wa kodi;
4. ihakikishe kwamba vinagawiwa vyote mashuleni kwa kumshirikisha yeye (Makonda).
Vinginevyo, mivutano hii itagawa chama na serikali. Kumbukeni tunajenga nyumba moja na hatuna sababu za kugombania fito!
Jitafakarini!