Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Haya mambo ya kumshambulia Makonda, ndio yanafanya hata mamlaka zinazomsimamia zishindwe kumwajibisha maana HAZIPANGIWI!

Sasa kama ni kweli haya, Mch. Gwajima yanamhusu nini kuingilia ugomvi ambao hata kwa mbali hayamhusu?

Kwa nini tusiseme haya mashinikizo kwa Makonda yana ajenda ya siri ya kisiasa?

Anaweza akawa kweli Makonda amefanya siyofaa kufanywa juu ya zogo hili, lakini je ni sahihi kwa Mtumishi wa Mungu Gwajima kuyaingilia namna hii?

Kwa nini kina Askofu Shoo au Kina Ruwaichi hawajiingizi katika sakata hili la Makontena?

Wakati mwingine Gwajima nae anavuta bangi!
 
Gwajima alipotea na sadaka zilipungua, jina la Makonda ni kiki kubwa kwa Gwajima, hivyo sasa kanisa litajaa na atavuna sadaka

P.
 
Nikikumbuka zile drama za vyeti nachoka kabisa. Kifupi Huyu Mchungaji anaitumia madhabahu vibaya, hayo ni mambo ya kisiasa, atafute political platforms kuyazungumzia, sio madhabahu za bwana. Inasikitisha ila wengi wetu tunafurahia.

“Kwa sababu Mungu ndiye aliyewawezesha watu wakakubali kujitolea, nakuhakikishia atakayenunua hivi vifaa vya walimu amelaaniwa yeye na uzao wake”.

“Na kamwe hatafanikiwa katika maisha yake. Nayasema haya nikiwa na uhakika kwani vya madhabahuni havichezewi”. - Paul Makonda


Hayo maneno alizungumza ofisini kwake au madhabahuni?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…