Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

......The more we talk about Makonda the less we have to expect for him to be relieved off his duties! It's like everybody hates him, the torch bearer in this parade being the opposition, and you know the numero uno guy in the land doesn't appreciate being told how to do things particularly by the other camp.
 
Aisee inaonekana lile bifu la madawa ya kulevya bado linafukuta.
 
Nilichojifunza Makonda hayumo mioyoni mwa Watanzania. Mpaka CCM wenyewe wanatamani sana makonda atumbuliwe ana kiburi sana
 
  • Thanks
Reactions: HP1
Kweli Mungu akupi vyote, kuna wengine wamepewa ujasiri wamenyimwa aibu, wengine wamepewa shepu wamenyimwa akili, wengine wamepewa madaraka wamenyimwa hekima. Wacha tuone next episode
 
Nikikumbuka zile drama za vyeti nachoka kabisa. Kifupi Huyu Mchungaji anaitumia madhabahu vibaya, hayo ni mambo ya kisiasa, atafute political platforms kuyazungumzia, sio madhabahu za bwana. Inasikitisha ila wengi wetu tunafurahia.
 
Gwajima anakinyongo mkuu mbona before sakata la kutajwa alikuwa kimya kwahyo masilahi yake yalipoguswa ndo anasema eti ukweli. Mkristo wa kweli husamehe saba Mara sabini,

Sent using Jamii Forums mobile app
Makonder anayashuhudia makontena kwa uongo!! Tunaanzaje kumtetea au angalau kumuunga mkono mkristo huyu?
 
Nikikumbuka zile drama za vyeti nachoka kabisa. Kifupi Huyu Mchungaji anaitumia madhabahu vibaya, hayo ni mambo ya kisiasa, atafute political platforms kuyazungumzia, sio madhabahu za bwana. Inasikitisha ila wengi wetu tunafurahia.
Makonda ana tumia madhabau kufanyaje??
 
Write your reply...kwani kuna ubaya gani mtu kula kazini kwake.?hawajui kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba na kwamba ukiipata nafasi usi ichezee.??
Kwani kuna ubaya gani makonda kumiliki hotel.alie mwajiri yupo na anavyombo vys kufuatilia sisi yanatuhusu nini.mbona yeye gwajima anaukwasi wa kufa mtu kwa kuwabana watu masikini watoao sadaka kanisani kwake.sisi mbona hatusemi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom