Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiji la Dar kwa sasa ni sehemu salama sana tokea enzi za Mwalimu,panya Road wameishia jela, mateja yote yamesekwa Rehab,Dar inapendeza..Vigelegele waTanzania.[/QUOTEhuwezi kua unaishi Dar
Nenda Twitter kajionee mwenyewea
acheni kumuonea mange lin kaandika hayo? ma akaunti feki mnaamin tu da wabongo vichwa maji
Tatizo kujifanya wao ni wema kuliko walio pita kumbe wao ndio wabaya afadhari na hao waliopitaWrite your reply...kwani kuna ubaya gani mtu kula kazini kwake.?hawajui kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba na kwamba ukiipata nafasi usi ichezee.??
Tulia dawa iwaingieKazi kweli kweli Gwajima ka Mtumishi wa Mungu kwanini anaweka vinyongo moyoni mwake yani hajamtoa makonda moyoni kabisa, awe na kiasi na yeye aache umbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuficha maovuGwajima anakinyongo mkuu mbona before sakata la kutajwa alikuwa kimya kwahyo masilahi yake yalipoguswa ndo anasema eti ukweli. Mkristo wa kweli husamehe saba Mara sabini,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa ‘front phage’ mkuuJumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums nakualika J'pili hii
Makonder anayashuhudia makontena kwa uongo!! Tunaanzaje kumtetea au angalau kumuunga mkono mkristo huyu?Gwajima anakinyongo mkuu mbona before sakata la kutajwa alikuwa kimya kwahyo masilahi yake yalipoguswa ndo anasema eti ukweli. Mkristo wa kweli husamehe saba Mara sabini,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukwepa kodi ni mambo ya kisiasa?Nikikumbuka zile drama za vyeti nachoka kabisa. Kifupi Huyu Mchungaji anaitumia madhabahu vibaya, hayo ni mambo ya kisiasa, atafute political platforms kuyazungumzia, sio madhabahu za bwana. Inasikitisha ila wengi wetu tunafurahia.
Makonda ana tumia madhabau kufanyaje??Nikikumbuka zile drama za vyeti nachoka kabisa. Kifupi Huyu Mchungaji anaitumia madhabahu vibaya, hayo ni mambo ya kisiasa, atafute political platforms kuyazungumzia, sio madhabahu za bwana. Inasikitisha ila wengi wetu tunafurahia.
Kwani kuna ubaya gani makonda kumiliki hotel.alie mwajiri yupo na anavyombo vys kufuatilia sisi yanatuhusu nini.mbona yeye gwajima anaukwasi wa kufa mtu kwa kuwabana watu masikini watoao sadaka kanisani kwake.sisi mbona hatusemi?Write your reply...kwani kuna ubaya gani mtu kula kazini kwake.?hawajui kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba na kwamba ukiipata nafasi usi ichezee.??