Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakatazwa kusemaKwani kuna ubaya gani makonda kumiliki hotel.alie mwajiri yupo na anavyombo vys kufuatilia sisi yanatuhusu nini.mbona yeye gwajima anaukwasi wa kufa mtu kwa kuwabana watu masikini watoao sadaka kanisani kwake.sisi mbona hatusemi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Post fake hii. Siyo kweli na hakuna sehemu yoyote Mange amepost kitu kama hiki.Kazi kweli kweli Gwajima ka Mtumishi wa Mungu kwanini anaweka vinyongo moyoni mwake yani hajamtoa makonda moyoni kabisa, awe na kiasi na yeye aache umbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
dah mimi mwenyewe nashangaa mkuuKazi kweli kweli Gwajima ka Mtumishi wa Mungu kwanini anaweka vinyongo moyoni mwake yani hajamtoa makonda moyoni kabisa, awe na kiasi na yeye aache umbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yetu macho na masikio, hao ni ndugu moja wanajuanaAll in all liishalo ni dogo kuliko linalo kuja
Haya mambo ya kumshambulia Makonda, ndio yanafanya hata mamlaka zinazomsimamia zishindwe kumwajibisha maana HAZIPANGIWI!Siku ya Jumapili wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake mnashauriwa kukaa mkao wa kiroho maana Mtumishi wa Baba askofu Josephat Gwajima
Asiyependa kuficha maovu ataweka kila kitu hadharani
Huenda nafasi ya wote kuingia kanisani ikakosekana lakini mpango unafanywa ili ibada iwe youtube live
Kwa hisani ya Dada wa TaifaView attachment 851158
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umezuiwa kusemaKwani kuna ubaya gani makonda kumiliki hotel.alie mwajiri yupo na anavyombo vys kufuatilia sisi yanatuhusu nini.mbona yeye gwajima anaukwasi wa kufa mtu kwa kuwabana watu masikini watoao sadaka kanisani kwake.sisi mbona hatusemi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwajima alipotea na sadaka zilipungua, jina la Makonda ni kiki kubwa kwa Gwajima, hivyo sasa kanisa litajaa na atavuna sadakaSiku ya Jumapili wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake mnashauriwa kukaa mkao wa kiroho maana Mtumishi wa Baba askofu Josephat Gwajima
Asiyependa kuficha maovu ataweka kila kitu hadharani
Huenda nafasi ya wote kuingia kanisani ikakosekana lakini mpango unafanywa ili ibada iwe youtube live
Kwa hisani ya Dada wa TaifaView attachment 851158
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa maji mwenyewe [emoji34] [emoji34]a
acheni kumuonea mange lin kaandika hayo? ma akaunti feki mnaamin tu da wabongo vichwa maji
Nikikumbuka zile drama za vyeti nachoka kabisa. Kifupi Huyu Mchungaji anaitumia madhabahu vibaya, hayo ni mambo ya kisiasa, atafute political platforms kuyazungumzia, sio madhabahu za bwana. Inasikitisha ila wengi wetu tunafurahia.
Wewe unakaa Dar ipi mkuu.acha kupotosha umma.Jiji la Dar kwa sasa ni sehemu salama sana tokea enzi za Mwalimu,panya Road wameishia jela, mateja yote yamesekwa Rehab,Dar inapendeza..Vigelegele waTanzania.
Kama unaishi Temeke pita ile mitaa ya keko.pia pale soko karume karibu ukielekea pale kwenye kituo cha reli.Mateja wamejaa wamejilaza tu .Naishi TMK
Rafiki unajua nini kwa kifupi kuhusu misukule!haya makanisa jau sana
😀😀😀😀😀😀😀
Temeke.