Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

kiukweli hayo makontena kama ni ya shule kweli basi wampe makontena yake na wahakikishe kweli anayapeleka shule make itakuwa jitihada nzuri kuongeza ubora wa elimu katika nchi yetu
 

Sheria msumeno hana namna. Naamini ushauri huu ataufanyia kazi. Sometimes kuwa humble we don't lose anything...sijui kwanini tunapenda kututumua misuli hata pasipo stahili
 
Halafu kama vilikuwa vifaa vya elimu iweje vije kwa jina lake?? Halafu mme angalia vyema vilivyomo kwenye zile container au wana amua tuu kumtetea Makonda?? Maana vifaa vilivyomo sio vya shule kama inavyo semwa

Sent using Jamii Forums mobile app



Aiseee, hivi kuna vifaa gani vingine zaidi ya vifaa vya shule??

Hebu tujuze mkuu!!
 
sababu kubwa ni kwamba Makonda ndiye mnyonge wa Gwajima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana Mh JPM kwa kuachana na huyu kilaza anayeshindwa na Mkoa wa Dodoma kimapato halafu anataka kuendelea kukwepa kodi. Naamini kwa umakini wako utakuwa umejifungia ukitafuta jina la RC bright wa kuongoza DSM
Nimejinukuu mwenyewe
 
Hahaaa kamaliza kama ulivyoomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kama hiyo laana itatoka kwa shetani, kama ni kutoka kwa Mungu basi atampa laana kwanza yeye kwa unyama na maovu na ufisadi alofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…