Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Mie naona kama ni vifaa vya shule na Makonda alikusudia kuyasambaza mashuleni,washirikiane na TRA shule zipate vifaa.

Wakipiga mnada ina maanisha shule binafsi zitanufaika zaidi

[emoji252] [emoji479]
 
Wapinzani uchwara walikuwa wanasema ati makontena yamejaa samani za majumbani pamoja na Toyota SUV moja,lakini kwa sasa yameshafunguliwa wamekuwa wakimya sana...Wapinzani Uchwara acheni fitna.
 
TRA na nyie muwe na huruma.
Kama kweli ni Mali za shule kodi za nini?
Mara ya mwisho kutoa sadaka. nyie tra ni lini?kaeni muyamalize vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapinzani uchwara walikuwa wanasema ati makontena yamejaa samani za majumbani pamoja na Toyota SUV moja,lakini kwa sasa yameshafunguliwa wamekuwa wakimya sana...Wapinzani Uchwara acheni fitna.
Kumbe yameshafunguliwa!?

[emoji252] [emoji479]
 
Kama ni vifaa vya Shule wangemwachia tu, akavisambaze mashuleni au hao TRA wakasambaze mashuleni kuliko kukaa nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo kuna mtego na unaweza kwenda ndivyo sivyo ukatumbuliwa cha msingi kufuata taratibu walizpjiwekea tra kuhusu bidhaa za aina hiyo zinazo ingia.

swali tu dogo unadhani tra wangekuwa wrong mkuu angekua hajala kichwa cha mtu mpaka sasa?

sasa apindishe mambo waone kwa kumwogopa bashte...
 
ina maana kipenzi chake mkulu naye amekaa kimya akisikilizia inshu hapo patamu,maana hata tra nao matumbo moto hawajui wafanye nn,usishangae WAKAYAPIGA mnada akayanunua tena mwenyewe hii ndio TZ,
 
Huyu jamaa kila kitu chake kimekaa kibashite bashite tu
 
Makonda huyu huyu mwenye body guard pande zote leo anatetemeshwa na TRA? Hpn anapaswa kujiuliza mara mbilimbili ni wapi alijikwaa mbona kama heshima yake inashuka kwa kasi hivi!!! Ajiandae kisaikolojia kwa kweli sioni Mwisho mzuri kwake kwa awamu hii nadhani ipo siku atarudi kama alivyokuwa mwanzoni. Huwezi kuwa na ukwasi kumshinda bosi wako wakati siasa umeianza juzi tu. Kuna kitu dogo ipo siku kitamkuta tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Fata sheria . Tambua hauko juu ya sheria
Nchi inataka kodi kama vitu vya misaada kwa shule kabidhi kwa wizara nao wataomba msamaha ili wazambaze mashuleni.
TRA watajuaje kama vifaa vitaishia kuuzwa na kujipatia fedha kinyume.
Kwa ufupi hauko juu ya sheria kwa sababu ni mkuu wa mkoa.



Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kazi kweli kweli..mtu alaaniwe kwa kununua makontena?
 
Maigizo tu hayo. Yani Makonda mali zako zikwame Bandarini!!?

Kwanza pesa ya kutoa anayo, pia akimwambia tu Baba yake dakika 1 tu simu inapigwa.
 
Malipo ni hapa hapa, atawewesuka sana; kama kweli yasemwayo ni kweli ... kijana ana shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…