Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Paul Makonda amekosa sifa za kuwa kiongozi.
Anachokifanya Paul Makonda a.k.a Bashite ni kuudhihirishia umma wa watanzania kwamba yeyeni mnafiki,mzandiki,muongo,mwizi,mjinga na zuzu!
Anaona sifa kuiibia serikali kodi wakati siku zote anajinasibu kumuunga mkono Mh.Rais Magufuli?
Hii ndio aina ya wateule wa Rais wetu alionao!
Wanafiki kama Paul Makonda wanastahili kupigwa risasi hadharani!
 
".............sasa nayaamini maneno ya Nape rasmi, kuwa kwa elimu/ufahamu wa huyu mtu kamwe hawezi elewa mfumo wa siasa na serikali inavyofanya kazi". Yaani RC anashindwa kujua sheria za kodi zinasemaje?????? Anakimbilia kanisani??
Huko kanisani si ndipo alipomwaga chozi baada kung'ang'aniwa aweke cheti mezani
 
Taarifa huripotiwa kwenye vyombo vya habari kama runinga, redio, magazeti, majarida na mitandao ya kijamii. Iliporipotiwa taarifa ya uingizwaji na uwepo wa makontena yenye jina la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda mwanzoni iliripotiwa kuwa Makonda 'aliyakana' makontena hayo.

Baadaye, ripoti zinadokeza kuwa RC Makonda 'aliyatambua' makontena hayo yaliyokuwa mikononi mwa TRA na kudai kuwa yalikuwa na samani za shule za mkoa wa Dar es Salaam. 'Akatishia' hata 'kuwashtaki' TRA kwa Rais. Mambo yakawa kimya hadi sasa inaporipotiwa kuwa TRA wamejaribu kuyapiga mnada bila mafanikio.

Sasa inaarifiwa kuwa RC Makonda amekwenda kanisani 'kufanya maombi maalum' ya kukwamisha mnada wa makontena yake. Ametishia kuwa yeyote ambaye atayanunua atapata laana! Kimsingi, ni Dhahiri sasa kuwa RC Makonda anayatambua na kuyapigania makontena yake. Makontena hayo yana nini hasa? Kwanini yalikuja kwa jina lake?

Namsihi RC Makonda, katika hili la makontena yanayoshikiliwa na TRA, aeleweke. Aiache TRA ifanye kazi yake na si kutaka kuionyesha TRA kama iliyo kwenye 'mission' naye kuyahusu hayo makontena. Mnada ufanyike na mambo mengine yaendelee. Namsihi RC Makonda kuacha pia kuwatisha 'kimaombi' wateja wanaotaka kuyanunua makontena hayo.

Kazi njema wakuu wote!
Weee jamaa unasema kwa hili la makontena aeleweke aiache TRA ifanyekazi yake!! Huyu anatakiwa aeleweke kwa mambo mengi sana, amechafua watu majina yao kwa madawa ya kulevya, operesheni ya kutelekeza watoto, kauli mbovumbovu nyingi, ukweli kuhusu jina na elimu yake, etc
 
haya ni Majira ya Makonda, hakuna wa kushindana naye kwa sasa, isipokuwa hawezi kushindana na muda na muda unasubiri majira yake yakome ndipo hatima ya Makonda itajulikana kwa muda huo
Kwan makonda ni nan hasa kias kwamba awanyime uhuru taasisi kubwa ya kiserikali kufanya kazi zake kwa uhuru?

Kuna mambo mengine viongoz Wetu wanafanya kias kwamba unajiuliza uyu mpaka leo anafanya nin kwann asipangiwe kazi nyingine ya kufanya au apigwe tuu chin..!!!!

Uyo jamaa kwa jinsi magu anavyo mlea ipo siku atakuja toa kauli za dhiaka kwa rais na uwongoz wake....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anunue bidhaa kwa hela yake, kwa njia halali kabisa tena hadharani: laana inaingiaje hapa???!! Aisee.... Kazi kweli kweli....

Sent using Jamii Forums mobile app
Laana ya wasiojulikana itamhusu na mzee atamshughulikia mnunuzi tena huenda kupitia TRA hao hao. Msimamo na kiburi cha Makonda dunia nzima inajua kinatoka wapi.
 
Sijui kwanini nashindwa kukubali hili sakata. Naona kama ni sinema ili tuamini kwamba sheria zinambana kila mtu. Usikute hata macontainer halisi yalishatolewa hayo yaliyo hapo ni bosheni tu. Kisa ichezwe movie kutuaminisha kwamba hata viongozi wanadhibitiwa kwenye kulipa kodi.

We jamaa naona umeamua ufikirie nje ya box Tanzania kila kitu kinawezekana
 
kwani kama waziri wa fedha hawezimpa msamaha wa kodi si aongee na raisi kwa maana ni mtu wa karibu yake ili ampatie msamaha wa kodi au ni nini kinashindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwaambia hii Nchi inaongozwa na mazwazwa mnatoa mapovu sasa hebu fikiria huyo kilaza Bashite anatoa uharo eti atakaye nunua makontena atalaaniwa , WtF hivi huyo kenge anafikiri yeye ni nani labda ????

Unajua tunaelekea kubaya sana kwa kuchanganya mambo serious na siasa za majitaka nchi za ulaya mkwepa kodi anakuwa dealt effectively na punishment yake ni heavy pia hawaangalii mtu usoni

Watu kama Sylivio Berusconi , Messi ,Ronaldo wameshakutana na hii shuruba usipime mkuu watu huwa wanapata tabú saana , ni bora uue mtu kuliko kukwepa kodi utaandamwa na nyuki pande zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom