Makonda atatua kero ya lift ofisi za CCM Mwanza

Makonda atatua kero ya lift ofisi za CCM Mwanza

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere.

Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na wajawazito itakwisha.
 
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za ccm mkoa wa mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya nyerere.

Mwenezi wa taifa makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe maramoja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na wajawazito itakwisha.
Hata waziri mkuu kaambiwa amalize migogoro ya ardhi mara moja!
 
Au sio
tapatalk_1700067531930.jpg
 
sema huyo mzee nyuma ya makonda sikumuelewa kabisa yani anakodoa wala hajali kamera na watu wapo kwenye sala.
Huko ccm huyo sio mzee, ni bado kijana kabisa. Umesahau wakati JK anagombea urais kwa mara ya kwanza akiwa ni miaka 54 walikuwa wanasema atakuwa rais kijana?
 
Mhh mbona maigizo live kwahyo hakukuwa na mtu mwenye mamalaka na hiyo lift mpaka makonda kaja.😂😂😂😂
 
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere.

Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na wajawazito itakwisha.
Kama ana nguvu kuliko mwenyekiti basi apewe uenyekiti
 
Back
Top Bottom