Makonda atatua kero ya lift ofisi za CCM Mwanza

Makonda ameagiza vyoo vya stendi videkiwe 😂😂😂😂

makonda ameagiza daladala ziwashwe kwa kusukumwa

Makonda makonda makonda
 
Ila CCM chama hovyo sana. Mwenezi ndio amekuwa mwenyekiti na Rais anaagiza kila mtu. Ngoja tuone mwisho wake.
 
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere.

Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na wajawazito itakwisha.
Pia mwenezi wa taifa Makonda kaamuru vita kati ya Israeli na Hamas visitishwe mara moja. Anazidi tu kutenda miujiza.
 
Hiyo rift ya enzi za nyerere... Sipandi hata niikute nzima kiasigani.
kwani watu waliacha kutumia jengo baada kuharibika kwa lift!!? Mbona huyo makonda hasemi anaomba dola ipatikane haraka iwezekanavyo au ajira na vima vya mishahara viongezwe mara moja.. tunapeleka sanaa kwenye sekta muhimu za nchi... yan fisiemu iko bize kulisha ujinga nchi nzima
 
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere.

Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na wajawazito itakwisha.
Kwahiyo hela ya ujenzi ilikuwepo lakini walikuwa wanasubiri amri?
 
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere.

Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na wajawazito itakwisha.
Ofisi ya chama ni clinic hadi wajawazito waende hapo? Hovyo sana.
 
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere.

Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na wajawazito itakwisha.
Mama kaamuru shuka lililokuwa limepasuka lishonwe mara moja. Halafu unashangilia?? Kuna kipya hapa?
 
Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere.

Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na wajawazito itakwisha.
Uongozi ni vitendo!, sio maneno matupu...Safi sana!
 
Back
Top Bottom