Pre GE2025 Makonda awatafutia vijana nafasi 1000 za kusoma nchini lndia. Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda

Pre GE2025 Makonda awatafutia vijana nafasi 1000 za kusoma nchini lndia. Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenda VETA sio kudhalilisha graduates ni kuongeza ujuzi wako watu walishaenda kwa mapenzi binafsi na wanamake now.Tuwe positive always.
Hicho kinachotolewa VETA kwanini kisifundishwe University pia
 
Who knows? Labda katumwa kuja kumfagilia. …Kulingana na title iliyotumika, Makonda ametafuta nafasi 1000 kwa ajili ya vijana. Kwa hiyo, nafasi ndiyo zinajulikana. Recruitment ya vijana wa kuchukua hizo nafasi labda ndiyo itafuata!😁
Mkuu vijana 1,000 wataishije wakiwa huko, ama watalipiwa na wazazi wao? Wanaenda kusomea nini? Angesema vijana 10 wangalau ingekuwa ni uongo unaovumilika.
 
Hicho kinachotolewa VETA kwanini kisifundishwe University pia
Unataka chuo kikuu kiwe na VETA pia? Yaani mtu anayesoma Public admiration akifunze usindikaji wa matunda chuo kikuu?
 
Kwenda VETA sio kudhalilisha graduates ni kuongeza ujuzi wako watu walishaenda kwa mapenzi binafsi na wanamake now.Tuwe positive always.
Watoto wa viongozi pia wanaenda VETA? Au wao wanapatiwa kazi serekalini na kwenye taasisi za umma?
 
Mkuu vijana 1,000 wataishije wakiwa huko, ama watalipiwa na wazazi wao? Wanaenda kusomea nini? Angesema vijana 10 wangalau ingekuwa ni uongo unaovumilika.
HAWA vijana bila shaka watapewa accommodation, na fee
 
VETA matrakos wasimuacheee.....hata India waende naeee.......period
 
Watoto wa viongozi pia wanaenda VETA? Au wao wanapatiwa kazi serekalini na kwenye taasisi za umma?
Watoto wa, viongozi TRA, Tanesco, tiss, BOT, madini, huko ndo kwao, watoto wa makapuku ni uwalimu, nesi, police, na veta
 
  • Kicheko
Reactions: Ame
HAWA vijana bila shaka watapewa accommodation, na fee
Nani atawapa vijana wengi hivyo? Unajua gharama yao itafika kiasi gani? Mkuu mbona unadanganyiak kirahisi hivyo?
 
Mtaka kazi zake zinajisemea zenyewe wengine kazi kulipa media ziwatangaze
Lakini hawezi kumfikia makonda, jamaa amefanya kaz makini makubwa yote ameyamudu, huyo ni tunu ya Taifa
 
Unataka chuo kikuu kiwe na VETA pia? Yaani mtu anayesoma Public admiration akifunze usindikaji wa matunda chuo kikuu?
Kama haifai kwanini aambiwe kwenda VETA baada ya kuhitimu
 
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.

Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.

Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
Hao vijana kumbuka watabidi waajiriwe Bongo kuna mazingira mazuri wakirudi ikiwa hawana wakuwashika mkono muda huo
 
N

Nchi ya india, bila shaka lakini pia stakeholders
Vijana wengi hivyo na ni masomo ya aina na muda gani? Nilidhani unajua ukweli wa jambo husika, kumbe ni mambo ya bila shaka! Kwanini usijue ukweli ndio ulete habari kamili, ama umeamua kushiriki kusambaza taarifa za utapeli?
 
Back
Top Bottom