ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Kama na yeye alishiriki katika kudhalilisha Wazee hiyo itamgharimu katika maisha yake yote !Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
😳 ! KARMA ! 😳