Hicho kinachotolewa VETA kwanini kisifundishwe University piaKwenda VETA sio kudhalilisha graduates ni kuongeza ujuzi wako watu walishaenda kwa mapenzi binafsi na wanamake now.Tuwe positive always.
Mkuu vijana 1,000 wataishije wakiwa huko, ama watalipiwa na wazazi wao? Wanaenda kusomea nini? Angesema vijana 10 wangalau ingekuwa ni uongo unaovumilika.Who knows? Labda katumwa kuja kumfagilia. …Kulingana na title iliyotumika, Makonda ametafuta nafasi 1000 kwa ajili ya vijana. Kwa hiyo, nafasi ndiyo zinajulikana. Recruitment ya vijana wa kuchukua hizo nafasi labda ndiyo itafuata!😁
Unataka chuo kikuu kiwe na VETA pia? Yaani mtu anayesoma Public admiration akifunze usindikaji wa matunda chuo kikuu?Hicho kinachotolewa VETA kwanini kisifundishwe University pia
Watoto wa viongozi pia wanaenda VETA? Au wao wanapatiwa kazi serekalini na kwenye taasisi za umma?Kwenda VETA sio kudhalilisha graduates ni kuongeza ujuzi wako watu walishaenda kwa mapenzi binafsi na wanamake now.Tuwe positive always.
Mtaka kazi zake zinajisemea zenyewe wengine kazi kulipa media ziwatangazeSasa bila media tutajuaje mkuu, kuwa anachapa Kazi, Dunia ni kijiji ,
Nani atawapa vijana wengi hivyo? Unajua gharama yao itafika kiasi gani? Mkuu mbona unadanganyiak kirahisi hivyo?HAWA vijana bila shaka watapewa accommodation, na fee
Kama haifai kwanini aambiwe kwenda VETA baada ya kuhitimuUnataka chuo kikuu kiwe na VETA pia? Yaani mtu anayesoma Public admiration akifunze usindikaji wa matunda chuo kikuu?
Hao vijana kumbuka watabidi waajiriwe Bongo kuna mazingira mazuri wakirudi ikiwa hawana wakuwashika mkono muda huoTanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
Elimu haina mwishoKama haifai kwanini aambiwe kwenda VETA baada ya kuhitimu
Vijana wengi hivyo na ni masomo ya aina na muda gani? Nilidhani unajua ukweli wa jambo husika, kumbe ni mambo ya bila shaka! Kwanini usijue ukweli ndio ulete habari kamili, ama umeamua kushiriki kusambaza taarifa za utapeli?N
Nchi ya india, bila shaka lakini pia stakeholders