Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,045
- 28,216
HUYU LE MUTUZ ANAMCHOKOZA TENA MANGE KIMAMBI?Ngoja nikanunue popcorn kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUYU LE MUTUZ ANAMCHOKOZA TENA MANGE KIMAMBI?Ngoja nikanunue popcorn kabisa
point taken akiskia askiekuna msemo unaosema sikio halizidi kichwa , RC kwa ulichokifanya jana tambua ya kwamba kitapita ila haitasahaulika, unatengeneza chuki sana na wadau wa dsm. Haijengi bali inabomoa
imeshangaza sana eti unataka kumpima ubavu msanii, ndio ni mdogo sana kwa madaraka uliyonayo ila nani amesema madaraka utakuwa nayo milele?
Unaharibu biashara na reputation za watu, na yako pia..kuna haja gani ya kutumia ubabe kila mahali?je ni kutaka kutambulika?umaarufu?umwamba?inakusaidia nini?
ifikie mahali utambue kuwa jiji la dsm ni la starehe(jaribu kuangalia jiji kama la las vegas), tengeneza mazingira ya wakazi wa dsm na mikoani kuja na kufanya starehe kwa usalama, huwezi kuzuia watu kufurahi na jukumu lako ni kuhakikisha kuna mzunguko mkubwa wa hela, mazingira masafi, utendaji kazi mzuri na ulinzi wa kutosha, then kila kitu kitaenda sawa
hauna miliki ya chochote katika jiji la dsm, wala wakazi wake na baada ya mda hautakuwa hapo. inauma sana unapojifanya wewe ndiye kila kitu...time will tell and you will regret someday
omarion all the way from nyumbani kwa TrumpMkuu ni msanii gan huyo
Huyu lemutuz amekuwa msemaji wa serikali? Nchi imepewa washamba kuongoza basi kila mshika pembe anapayuka tu atakavyo huku Limutuz kule Jenny Muro basi tafrani tupu si bure wabunge wetu wanakimbia ccm sasa mfyuuuuu.
kamwambie alienda kuzima mzikiACHA UMBEA FANYA KAZI
Fafanua kilichotokeaNi kweli,
Nami nilikuwepo
Huyu lemutuz amekuwa msemaji wa serikali? Nchi imepewa washamba kuongoza basi kila mshika pembe anapayuka tu atakavyo huku Limutuz kule Jenny Muro basi tafrani tupu si bure wabunge wetu wanakimbia ccm sasa mfyuuuuu.
kuna msemo unaosema sikio halizidi kichwa , RC kwa ulichokifanya jana tambua ya kwamba kitapita ila haitasahaulika, unatengeneza chuki sana na wadau wa dsm. Haijengi bali inabomoa
imeshangaza sana eti unataka kumpima ubavu msanii, ndio ni mdogo sana kwa madaraka uliyonayo ila nani amesema madaraka utakuwa nayo milele?
Unaharibu biashara na reputation za watu, na yako pia..kuna haja gani ya kutumia ubabe kila mahali?je ni kutaka kutambulika?umaarufu?umwamba?inakusaidia nini?
ifikie mahali utambue kuwa jiji la dsm ni la starehe(jaribu kuangalia jiji kama la las vegas), tengeneza mazingira ya wakazi wa dsm na mikoani kuja na kufanya starehe kwa usalama, huwezi kuzuia watu kufurahi na jukumu lako ni kuhakikisha kuna mzunguko mkubwa wa hela, mazingira masafi, utendaji kazi mzuri na ulinzi wa kutosha, then kila kitu kitaenda sawa
hauna miliki ya chochote katika jiji la dsm, wala wakazi wake na baada ya mda hautakuwa hapo. inauma sana unapojifanya wewe ndiye kila kitu...time will tell and you will regret someday
Umemaliza mkuuEeeeeeh
uliyemtaja simjui
ILA
Sheria ni sheria
Walioandaaa lazima iwe Jumapili ni kosa lao huku ni eneo la makazi ya watu na wanapiga muziki wao
Wasingezima mngesema kwasababu msanii huyo na wageni wake wa WCB wapo karibu na RC ndio maana wameruhusiwa kuvunja sheria...
Haaa! wivu wa nini na kwa nani? Li mutuz ambae hata maisha ya familia yamemshinda? Anaishi kama under 18 wakati ni above 50? Wivu wa kukesha kwenye nyumba za starehe na kupiga picha na makonda? Haya huyo Muro amefeli kila sekta yaani hata kazi ya USEMAJI tu ameshindwa amebaki kuropoka nae nimuonee wivu? Kwa lipi! kupiga picha na Makonda? Haahaaahaa! umenishangaza kweli kweli.Wivu.com
Jamaa ndiye aliyezengua kwanza, hakutokea kwenye press conf, so wadau wakahamasishana wagomee show....kama alivyofanyiwa Kofii Kenya sema yeye alirudishwa kwao kabla ya show...ila angefanya show angekula za uso.Haha hii ilikua ni show ya Omarion hahahahhahhahhahahahhahhahah
nasikia eti alialikwa kwenye harusi akalazimisha kukaa kwenye kiti cha bibiharusi ahaaaa eti ni mkuu wa nini sijuiSijui kama watakuelewa
Wivu.com
nasikia eti alialikwa kwenye harusi akalazimisha kukaa kwenye kiti cha bibiharusi ahaaaa eti ni mkuu wa nini sijui