Tetesi: Makonda azima muziki element; amkasirisha Omarion

Tetesi: Makonda azima muziki element; amkasirisha Omarion

Jamaa kajidhalilisha sana ....
Dar fish market ashazimaga mziki kosa alikuwa na kunako chake

Ova
 
Eeeeeeh
uliyemtaja simjui
ILA
Sheria ni sheria
Walioandaaa lazima iwe Jumapili ni kosa lao huku ni eneo la makazi ya watu na wanapiga muziki wao

Wasingezima mngesema kwasababu msanii huyo na wageni wake wa WCB wapo karibu na RC ndio maana wameruhusiwa kuvunja sheria...
Usijitoe ufahamu,kama humjui basi ni suala la muda utamjua tuu
 
Hivi mange neno lake ndio sheria, kila kitu mange kasema, hata kama hamumpendi makonda acheni uzushi, hiyo habari si kweli hivi nyinyi mnategemea mange kuandika kizuri cha makonda. Ila huyu dada ataumwa magonjwa ambayo hayatibiki kwani moyo wake ameujaza chuki, najua kuna watu watanibishia ila kwa faida yako kiroho, jaribu kwenda hija Pugu (kwa wakatoliki ,alafu utakutana na padri atakupa semina ) ndio utajua nini nguvu ya upendo na msamaha, na utajua madhara ya chuki, chuki inaweza ikakusababishia hata magonjwa yasiyotibika na kama hukupata msaada wa kiroho unaweza ukafa au hata kuwa kama chizi na muogope sana mtu anayeongozwa na chuki, kwani kinywa chake ni chanzo cha mifarakano ktk jamii yoyote na maneno yake ni sumu, mm huyu binti simuelewi anataka nini, yupo kama sigara Kali.
Kwahiyo umemuona Mange tuu ndio ana roho ya chuki ila hao wengine hujawaona sio,msiambiwe ukweli nyie ni nan?...,
 
Haaa! wivu wa nini na kwa nani? Li mutuz ambae hata maisha ya familia yamemshinda? Anaishi kama under 18 wakati ni above 50? Wivu wa kukesha kwenye nyumba za starehe na kupiga picha na makonda? Haya huyo Muro amefeli kila sekta yaani hata kazi ya USEMAJI tu ameshindwa amebaki kuropoka nae nimuonee wivu? Kwa lipi! kupiga picha na Makonda? Haahaaahaa! umenishangaza kweli kweli.
Labda anataka uwe kama wao,kiuhalisia lemutuz alitakiwa awe na kijana rika la bashite lkn ndio hivyo amebaki kumfuata jamaa hapo nyuma tu na kuwa msemaji wake
 
nasikia eti alialikwa kwenye harusi akalazimisha kukaa kwenye kiti cha bibiharusi ahaaaa eti ni mkuu wa nini sijui
Aiseee labda tumuulize cocochanel ndio anaweza akawa na jibu la hili swali lako,yy na lemutuz wamekuwa wasemaji wa mkuu sijui wa nin...
 
Jana usiku huko Element ambapo msanii Omarion alikua akitumbuiza, Mkuu wa Mkoa wa DSM alikuepo pia na Kutokana na habari zilizosambazwa na Mangekimambi ni kwamba kulitokea na mgogoro kati ya Mkuu wa Mkoa na Msanii huyo wa Marekani, Omarion na kusababisha shughuli io kuisha mapema na msanii huyo kujawa na Jazba. Fuatilia zaidi
wapenda hbr z udaku kuliko kaz',,,,
wapoooo'
 
Back
Top Bottom