Tetesi: Makonda azima muziki element; amkasirisha Omarion

Tetesi: Makonda azima muziki element; amkasirisha Omarion

Haaa! wivu wa nini na kwa nani? Li mutuz ambae hata maisha ya familia yamemshinda? Anaishi kama under 18 wakati ni above 50? Wivu wa kukesha kwenye nyumba za starehe na kupiga picha na makonda? Haya huyo Muro amefeli kila sekta yaani hata kazi ya USEMAJI tu ameshindwa amebaki kuropoka nae nimuonee wivu? Kwa lipi! kupiga picha na Makonda? Haahaaahaa! umenishangaza kweli kweli.
Hehe hivi lemutuz si ni kama baba yangu? Na mimi ni mtu mzima sana tayar
 
Fight night...!!
My real nigga left,
My fake nigga in ryt,
all in all fxxk this niggas
All in all we do this shit.

Paaaa..paa....paaaah..
E'm fxxk this niggas
Ryt shit happens
Learn and on this elements,
19 clubs got element
Since im on elementary,
Fire element, through alpha elements local place we in through elements shut down bow side good musical elements.

Paaa ...kriiii paaa paaah..

My real nigga in left
My fake nigga in ryt.

[emoji3] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hebu nipeni beats ni flow hip hop / trap beats hip hop.

Kama Quavo huncho / migos.
 
Eeeh
 
Shida ya Huyu mfalme wa dar anataka kila sehemu inayo happen Lazima atimbee

Ova
 
Kumbe hata picha za kufanya kolabo na Diamond zitakuwa zilipigwa Madale.

Jamaa nyota iligoma kabisa toka B2K ife, ila yuko powa

Humfuatiliii kabisa ww....Nyimbo kubwa zilizosumbuaaa sana hv karibuni Distance na post to be....unasemaje ss kua omarion haskiki....sema mshkaji mwenyew tu hana skendo kaamua kua lowkey
 
Humfuatiliii kabisa ww....Nyimbo kubwa zilizosumbuaaa sana hv karibuni Distance na post to be....unasemaje ss kua omarion haskiki....sema mshkaji mwenyew tu hana skendo kaamua kua lowkey
If your chick come close to me, she aint goin home where she post to be ......
 
Humfuatiliii kabisa ww....Nyimbo kubwa zilizosumbuaaa sana hv karibuni Distance na post to be....unasemaje ss kua omarion haskiki....sema mshkaji mwenyew tu hana skendo kaamua kua lowkey

Okay labda hiyo lowkey ndo sababu, maana jamaa anajua sana lakini jina siyo kubwa.

Kabla ya hapo ni ngoma gani ameganya zikahit?
 
Jana usiku huko Element ambapo msanii Omarion alikua akitumbuiza, Mkuu wa Mkoa wa DSM alikuepo pia na Kutokana na habari zilizosambazwa na Mangekimambi ni kwamba kulitokea na mgogoro kati ya Mkuu wa Mkoa na Msanii huyo wa Marekani, Omarion na kusababisha shughuli io kuisha mapema na msanii huyo kujawa na Jazba. Fuatilia zaidi

Wanaume WA Dar wengi wambea wambea yaaaan
 
Mkuu uko sahihi hizo ni taarifa zilizo sambaa acha zisambae anayetaka kuzikusanya usibishane nae
 
Back
Top Bottom