yuleMskinny
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 242
- 136
- Thread starter
-
- #81
Hehe hivi lemutuz si ni kama baba yangu? Na mimi ni mtu mzima sana tayarHaaa! wivu wa nini na kwa nani? Li mutuz ambae hata maisha ya familia yamemshinda? Anaishi kama under 18 wakati ni above 50? Wivu wa kukesha kwenye nyumba za starehe na kupiga picha na makonda? Haya huyo Muro amefeli kila sekta yaani hata kazi ya USEMAJI tu ameshindwa amebaki kuropoka nae nimuonee wivu? Kwa lipi! kupiga picha na Makonda? Haahaaahaa! umenishangaza kweli kweli.
wapenda hbr z udaku kuliko kaz',,,,
wapoooo'
EeehFight night...!!
My real nigga left,
My fake nigga in ryt,
all in all fxxk this niggas
All in all we do this shit.
Paaaa..paa....paaaah..
E'm fxxk this niggas
Ryt shit happens
Learn and on this elements,
19 clubs got element
Since im on elementary,
Fire element, through alpha elements local place we in through elements shut down bow side good musical elements.
Paaa ...kriiii paaa paaah..
My real nigga in left
My fake nigga in ryt.
[emoji3] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hebu nipeni beats ni flow hip hop / trap beats hip hop.
Kama Quavo huncho / migos.
ni ulimbuken na ujinga aseeShida ya Huyu mfalme wa dar anataka kila sehemu inayo happen Lazima atimbee
Ova
Ana zile za kusema unanijua nani mimi?ni ulimbuken na ujinga asee
Kumbe hata picha za kufanya kolabo na Diamond zitakuwa zilipigwa Madale.
Jamaa nyota iligoma kabisa toka B2K ife, ila yuko powa
ungese mtakatifuAna zile za kusema unanijua nani mimi?
Ova
If your chick come close to me, she aint goin home where she post to be ......Humfuatiliii kabisa ww....Nyimbo kubwa zilizosumbuaaa sana hv karibuni Distance na post to be....unasemaje ss kua omarion haskiki....sema mshkaji mwenyew tu hana skendo kaamua kua lowkey
Humfuatiliii kabisa ww....Nyimbo kubwa zilizosumbuaaa sana hv karibuni Distance na post to be....unasemaje ss kua omarion haskiki....sema mshkaji mwenyew tu hana skendo kaamua kua lowkey
Wanaume WA Dar wengi wambea wambea yaaaanJana usiku huko Element ambapo msanii Omarion alikua akitumbuiza, Mkuu wa Mkoa wa DSM alikuepo pia na Kutokana na habari zilizosambazwa na Mangekimambi ni kwamba kulitokea na mgogoro kati ya Mkuu wa Mkoa na Msanii huyo wa Marekani, Omarion na kusababisha shughuli io kuisha mapema na msanii huyo kujawa na Jazba. Fuatilia zaidi
Raisi wa nyeti zake ambazo ni nonproductive.Ndio raisi wa DSM