Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Usiwe na huruma Kwa MTU ameharibu Sura ya mkuu wa Taifa na Taifa. Sorry TanzanianToo bad hadi nimeona huruma ...
Ha ha ha[emoji1][emoji1][emoji1] anatafuta kazi.. eti alikua na bahasha ya kaki kaishika yenye cv na vyeti
Wewe nawe acha uzushi wako...Unajua siri iliyopo hadi Magufuli kuhutubia mkutano mchana? Tulieni mambo ni magumu sana huko
Rais hajuti, ameapa kutokuwa na huba wala upendeleoMeco roho inamsuta kwa sasa! hawezi kuonyesha hadharani, lakini guilty conscious inamdunda! roho si yake!
Leo kawa mtu wa hovyo hovyo. Bado anaendelea kujipendekeza.Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Alitaka akae jukwaa kuu wakati yeye siyo kiongozi ??Somethings is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Watu wamemzuia asikae jukwaa kuu akakae changanikeni hukoKakutwa na nini
Bado weweUwenda alio yafanya hata ardhi itamkana
Kesho lazima apeleke kilio KanisaniHalafu anaoneka hayuko sawa kiakili ukiangalia unaona Nywele hajachana na viatu vina vumbi pia yuko rafu...anapitia kipindi kigumu kwa kweli.
Bado zamu yakoUwenda alio yafanya hata ardhi itamkana
H ha ha ha ha yamekuwa hayoLazima wamzuie ana gadhabu ya kutemwa anaweza kuwa anatembea na sumu akawadhuru waliokuwa mabosi wake.