Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Acha uongo wewe hangaika na saccos yako ya Makonda achana nayo jikite kwenye saccos imeishiwa pesa!! Kachangie saccos... angalia nyomi ya saccos leo Kawe!!
 
Kwani hii dunia ni yetuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji52] Muogope Mungu we kideraa
 
Kijambio kimekosa soka,bado damu za watu zitamtesa sana...yuko mwz anawekeza bar kama sikosei
 
Sijui ni nani alimshawishi akagombee ubunge aache ukuu wa mkoa.

Alikuwa na nafasi nzuri ya kujipanga. Angeweza kugombea ubunge 2025.
 
Huko Tanganyika packers Tundu Lissu yuko Peke yake. Tanzania Inachosha
Wanazikumbuka zile pesa za Lowassa. Nimemuona mwanamuziki mmoja jinsi alivyochoka inaonekana kama kalipwa pesa nyingi sana basi tshs elfu hamsini yaani kachoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…