Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Yani tangia chinjachinja wa kindondoni alambe teuzi hata comments zinazomhusu yeye zimekuwa chache mnoo
Hii ndio bongo ninayo ijua mimi
Hii ndio bongo ninayo ijua mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ulichoandika ni upuuzi mtupu,chukueni hatua za kisheria, idiots..anatuhumiwa kumshambulia Lissu.
..pia anatuhumiwa kumpoteza Ben Saanane.
..vilevile anatuhumiwa kuwateka Roma Mkatoliki, Ney wa Mitego, na Mo Dewji.
..sasa anadai uovu huo anaotuhumiwa nao ulimsaidia kumjua Mungu?!
Hiki ulichoandika ni upuuzi mtupu,chukueni hatua za kisheria, idiots
Kasema yeye sio honiAjalia leo?
Mana kwa kulia ndugu Bashite hana mpinzani!
Walishachukua wakiongozwa na kubenea wakagaragazwa mahakamaniHiki ulichoandika ni upuuzi mtupu,chukueni hatua za kisheria, idiots
Wewe ni MWANGA huyu kijana wa watu uliyemtengua kama sio kuvunja uti wa mgongo ili ufanikiwe lengo la hapo mahali hutaenda mbali!!Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na sasa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM wakati akipokelewa mkoani Dar es Salaam amesema;
"Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye mitandao, wengi wanahamaki na wengi wana bashasha, lakini wanaohamaki wengi wao wanawaza Makonda ataenda kulipa kisasi
Wanawaza Makonda ataenda kufanya nini? Nimeona na wengine wameanza kuwataja Watu wengine kwamba 'Utaona sasa usiyemtaka kaja'"
"Wengine wanasema tumejifunza nini katika jambo la Makonda? Wengine wanasema mbona siku hizi hatumuoni alikuwa amejificha wapi?
Mimi sina kisasi kwa mtu yeyote na asiwepo mtu yeyote akafikiri mimi lengo langu ni kumkandamiza, asiwepo yeyote akafikiri wakati huu nitajitutumua kuonesha mabavu dhidi ya wale walionifanyia mabaya, la hasha!"
"Wale wote wanaohisi ya kwamba kuna jambo halikuwa sawa, mie naelewa Mungu aliwatumia kunisaidia kumjua Mungu zaidi. Naaamini Mungu aliwatumia kunifanya niwe mnyeyekevu zaidi, aliwatumia kuniandaa zaidi
Msiwe na hofu kwangu ninyi wote ni Watumishi wa Mungu"