Makonda: Baada ya kuteuliwa wapo waliowaza naenda kufanya nini. Sina Kisasi na mtu, sitajitutumua kuonesha mabavu

Yani tangia chinjachinja wa kindondoni alambe teuzi hata comments zinazomhusu yeye zimekuwa chache mnoo

Hii ndio bongo ninayo ijua mimi
 
..anatuhumiwa kumshambulia Lissu.

..pia anatuhumiwa kumpoteza Ben Saanane.

..vilevile anatuhumiwa kuwateka Roma Mkatoliki, Ney wa Mitego, na Mo Dewji.

..sasa anadai uovu huo anaotuhumiwa nao ulimsaidia kumjua Mungu?!
Hiki ulichoandika ni upuuzi mtupu,chukueni hatua za kisheria, idiots
 
Kila la kheri Mh Makonda. Mungu awe pamoja nawe siku zote.. Sisi kazi yetu ni kukuombea tu, we chapa kazi.
 
Wewe ni MWANGA huyu kijana wa watu uliyemtengua kama sio kuvunja uti wa mgongo ili ufanikiwe lengo la hapo mahali hutaenda mbali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…