Makonda (CCM), John Mrema (CHADEMA), na Shaibu (ACT) - wanalingana uwezo?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Nafuatilia hawa wasemaji wa vyama kila mmoja ktk chama chake.
# Paul Makonda (CCM);
# John Mrema (CHADEMA); na
# Salim Bimani wa ACT Wazalendo.

Hivi kweli vingunge hawa hata mtoto asiyejua au kufuatilia mambo ya siasa unaona wanalingana uwezo?
Binafsi namwona Paul Makonda akiwaacha mbali sana kwa uwezo, ubunifu, na jitihada binafsi.

CCM kimkakati imeshashinda chaguzi zote hata kabla ya uchaguzi wenyewe kufika.

Ngaika Ndenda!
 
CCM kushinda kwa kura hilo imeshashindwa, kupora uchaguzi ndio walichobakiza. Kwa Sasa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
CCM kushinda kwa kura hilo imeshashindwa, kupora uchaguzi ndio walichobakiza. Kwa Sasa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Kimkakati CCM hahitaji kuiba kura ndiyo ashinde uchaguzi. Wapinzani hufeli parefu (kuwa na utitiri wa vyama na kila chama kupambana kivyake ni ushindi tosha kwa CCM).
 
ccm ni majizi ya kura jiuluze kwanini tume yote ya uchaguzi anateua mwenyekiti wao? kwanini maccm hayataki katiba mpya?
 
CCM kushinda kwa kura hilo imeshashindwa, kupora uchaguzi ndio walichobakiza. Kwa Sasa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Sasa kama tatizo ni Mlango mbovu ndio unasababisha uibiwe mara kwa mara kwanini wewe uko busy kuimarisha plumbing system nyumbani kwako kudhibiti wizi?
 
Kimkakati CCM hahitaji kuiba kura ndiyo ashinde uchaguzi. Wapinzani hufeli parefu (kuwa na utitiri wa vyama na kila chama kupambana kivyake ni ushindi tosha kwa CCM).
Hata kama vyama vingekuwa mia, acha hivyo 18 Bado ccm haina uwezo tena wa kushinda kwa zaidi ya 50%, na haitakaa iweze. Hiyo ni kutokana na mabadiliko ya kizazi, na ndio maana kunajisi uchaguzi imekuwa nguvu pekee ya ccm kubaki madarakani kwa shuruti.
 
Mrema ni Zuzu

Ni Zuzu

Mchaga wa vile hakunaga japo anabebwa na ushemj wa Braza Freeman😂
 
Sasa kama tatizo ni Mlango mbovu ndio unasababisha uibiwe mara kwa mara kwanini wewe uko busy kuimarisha plumbing system nyumbani kwako kudhibiti wizi?
Ingekuwa ccm wanaiba kama Chams wasingeweza, Bali wizi huo unafanyika kwa support ya vyombo vya dola na kimamlaka kama tume ya uchaguzi na mahakama.
 
John Mrema ni binamu yake Mwenyekiti wa Chama, alibebwa na Mzee Mbowe
 
Ngaika Ndenda
 
Sijawahi kuona wala kusikia jambo lolote lililosimamiwa au kubuniwa na DAB likafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…