Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Watalinganaje wengine hata ofisi hawana?Nafuatilia hawa wasemaji wa vyama kila mmoja ktk chama chake.
# Paul Makonda (CCM);
# John Mrema (CHADEMA); na
# Shaibu wa ACT Wazalendo.
Hivi kweli vingunge hawa hata mtoto asiyejua au kufuatilia mambo ya siasa unaona wanalingana uwezo?
Binafsi namwona Paul Makonda akiwaacha mbali sana kwa uwezo, ubunifu, na jitihada binafsi.
CCM kimkakati imeshashinda chaguzi zote hata kabla ya uchaguzi wenyewe kufika.
Ngaika Ndenda!