Makonda (CCM), John Mrema (CHADEMA), na Shaibu (ACT) - wanalingana uwezo?

Watalinganaje wengine hata ofisi hawana?
 
Ndug.Ado Shaibu ni katibu Mkuu sio Muenezi, Muenezi ni Ndug.Salim Bimani na Naibu wake ni Bi.Janeth Rithe Simba Jike
 
Ndug.Ado Shaibu ni katibu Mkuu sio Muenezi, Muenezi ni Ndug.Salim Bimani na Naibu wake ni Bi.Janeth Rithe Simba Jike

..Makonda hamuwezi Salim Bimani.

..kama wanabisha waandae mdahalo.
 
Ndug.Ado Shaibu ni katibu Mkuu sio Muenezi, Muenezi ni Ndug.Salim Bimani na Naibu wake ni Bi.Janeth Rithe Simba Jike
OK!
Bado hoja iko pale pale - kwenye jina Shaibu weka Bimani. Makonda Paul bado anakuwa juu kwa weight
 
CCM kushinda kwa kura hilo imeshashindwa, kupora uchaguzi ndio walichobakiza. Kwa Sasa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Na wananchi wameshakubaliana na hiyo hali?
 
Re

Real!?
Naanza kumfuatilia Bimani lkn.,...

..Bimani is more talented ktk kulitawala jukwaa kuliko Bashite.

..Bashite hawezi kuzungumza dakika 10 bila kutoa kauli yenye ukakasi inayohitaji kuombewa radhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…