Ni sawa,Wanaolipwa million 4 ni wenye nyumba, siyo wapangaji.
Daaa! Makonda ndo amekuwa tumaini la Watanzania badala ya serikali yenyewe. Makonda mungu akubariki Sana mwanawane watu Wana Imani na wewe kuliko hata RaisMradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.
zoezi hili Makonda wananchi wanakuomba ujitokeze kwenda kuwasikiliza wananchi wa jangwani wanaopisha eneo hilo ambalo kuna tetesi kuwa anataka kupewa mwekezaji lakini wananchi wananyanyaswa kwa kudhulumiwa fidia na wajanja wa mjini ndani ya serikali.
View attachment 2817528
Nimegundua kuwa wewe uko makini sana, hakika siku hizi ninakupenda, nataka umpokee Yesu KristoWanaolipwa million 4 ni wenye nyumba, siyo wapangaji.
Usafiri -->usafiri/ardhi hvi vitu vinaendana?
OkWanaolipwa million 4 ni wenye nyumba, siyo wapangaji.
Asante kwa ufafanuziUjinga wa Watanzania unawapq sana sifa na umaarufu wa kipuuzi wanasiasa wapuuzi!!
Elimu na uwazi ndio tatizo hapo.
Mfano kwa dakika 2 nilizomsikiliza Mchengerwa siku ile nilimuelewa sana kua 4mln ni kwa wamiliki wa viwanja husika ambapo hiyo wanapewa kama fidia ya kiwanja lakini pia wameshawafanyia valuation ya thamani za nyumba zao ambapo napo pia watalipw!!
Hapo hiyo 170,000 nafikiri nauli ya kuhamisha vitu kwa wale ambao ni wapangaji kwenye hizo nyumba ambazo wamiliki wanalipwa fidia maana wengi wa wamiliki wa hizo nyumba hawaishi hapo bali wanazitumia kama vitega uchumi.
Makonda hapo wa kazi gani?!! Kwa chain of command ipi?!!
Nchi hii hiyo siyo ajabuWanaolipwa million 4 ni wenye nyumba, siyo wapangaji.