🙄🙄🙄Wapangaji hukoi pirika na wenye nyumba, na wao wanataka million4 zigawiwe sawa kwa sqa kati ya waoangaji na wenye nyumba.
Wanawema hizo wamepewa za kuhama na siyo za kujenga kwengine, hazitoshi.
Pia wengine wanasema wapewe wao kwani kuna nyumba hapo wenyewe hawakai hapo na wapangaji ndiyo wanaishi hapo miaka yote.
Kuna bingoi movie huko.
🙄🙄Toz unafiki wako hapa
Bashite afuatikie kama nani nchi hii.Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.
zoezi hili Makonda wananchi wanakuomba ujitokeze kwenda kuwasikiliza wananchi wa jangwani wanaopisha eneo hilo ambalo kuna tetesi kuwa anataka kupewa mwekezaji lakini wananchi wananyanyaswa kwa kudhulumiwa fidia na wajanja wa mjini ndani ya serikali.
View attachment 2817528
Ampokee ampeleke wapi??Nimegundua kuwa wewe uko makini sana, hakika siku hizi ninakupenda, nataka umpokee Yesu Kristo
Hapo Jangwani hao wameshalipwa zaidi ya mala nne na viwanja mabwepande wamepewa lakini hawataki kuhama wameshafanya kitega uchumi hapo dawa ni kuhamishwa kwa nguvu tuAsee kama ni kweli basi bora wakatae waendelee kubakia hapo jangwani walime hata mchicha, haya ni matusi kabisa.
Hao mbona wameshalipwa mala nyingi tu kipindi cha Kikwete walipewa viwanja mabwepandeusafiri/ardhi hvi vitu vinaendana?
Mkuu ilo eneo watu wamelipwa zaidi ya mala mbili kipindi cha Kikwete walipewa mpaka na viwanja mabwepande inachofanya Serikali ni huruma tu kwa raia wake lakina hao hawakustahili kulipwa hata Senti tanoTtzo ili suala mmelifanya siasa badala ya kuangalia maisha ya watu
Ingetolewa elimu kwanza ni nani anasitahili million4 na na anasitahili 170,000 na nan apati ata mia ila kwa haya yanayoendelea watu watalia sana
Lakin pia tuache kutetea ujinga kwann ulipwe kuhama sehemu ambayo inahatarisha maisha yako, yan uhai ni wako na familia yako afu unataka ulipwe ili uondoke kuokoa uhai wako
Wangeachwa tu wakai ili sku ikija mvua moja kubwa wakafa km50 iv watahama wenyewe na ata iyo fidia hawataomba
Mpangaji kulipwa elfu 170 ni nyingi mnoo!Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.
zoezi hili Makonda wananchi wanakuomba ujitokeze kwenda kuwasikiliza wananchi wa jangwani wanaopisha eneo hilo ambalo kuna tetesi kuwa anataka kupewa mwekezaji lakini wananchi wananyanyaswa kwa kudhulumiwa fidia na wajanja wa mjini ndani ya serikali.
View attachment 2817528
Ninafikiri ndiyo hivi Bibi. Wazima Mkuranga!Wanaolipwa million 4 ni wenye nyumba, siyo wapangaji.
Wasamehe Mkuu. Ni athari za kukaa sana kwenye maji!Ujinga wa Watanzania unawapq sana sifa na umaarufu wa kipuuzi wanasiasa wapuuzi!!
Elimu na uwazi ndio tatizo hapo.
Mfano kwa dakika 2 nilizomsikiliza Mchengerwa siku ile nilimuelewa sana kua 4mln ni kwa wamiliki wa viwanja husika ambapo hiyo wanapewa kama fidia ya kiwanja lakini pia wameshawafanyia valuation ya thamani za nyumba zao ambapo napo pia watalipw!!
Hapo hiyo 170,000 nafikiri nauli ya kuhamisha vitu kwa wale ambao ni wapangaji kwenye hizo nyumba ambazo wamiliki wanalipwa fidia maana wengi wa wamiliki wa hizo nyumba hawaishi hapo bali wanazitumia kama vitega uchumi.
Makonda hapo wa kazi gani?!! Kwa chain of command ipi?!!
Wlaishaambiwa bhana. Hao vichwa ngumu tuTtzo ili suala mmelifanya siasa badala ya kuangalia maisha ya watu
Ingetolewa elimu kwanza ni nani anasitahili million4 na na anasitahili 170,000 na nan apati ata mia ila kwa haya yanayoendelea watu watalia sana
Lakin pia tuache kutetea ujinga kwann ulipwe kuhama sehemu ambayo inahatarisha maisha yako, yan uhai ni wako na familia yako afu unataka ulipwe ili uondoke kuokoa uhai wako
Wangeachwa tu wakai ili sku ikija mvua moja kubwa wakafa km50 iv watahama wenyewe na ata iyo fidia hawataomba
Makonda waziri wa nini we zumbukuku?Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.
zoezi hili Makonda wananchi wanakuomba ujitokeze kwenda kuwasikiliza wananchi wa jangwani wanaopisha eneo hilo ambalo kuna tetesi kuwa anataka kupewa mwekezaji lakini wananchi wananyanyaswa kwa kudhulumiwa fidia na wajanja wa mjini ndani ya serikali.
View attachment 2817528
Angejiteua basi huyo makonda' wenu?wassukuma hamna akkiliDaaa! Makonda ndo amekuwa tumaini la Watanzania badala ya serikali yenyewe. Makonda mungu akubariki Sana mwanawane watu Wana Imani na wewe kuliko hata Rais
POLE SEREKALI YETU PENDWA, NI HURUMA KUBWA MNO, UKIZINGATIA WATU HAO WALISHAONYWA MUDA MREFU MNO KUONDOKA HUMO MABONDENI.Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.