Makonda: Kabla hujainyooshea kidole Serikali tafakari kwanza familia yako

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha kidole kwa Serikali kwa sabbau Serikali haizai, Serikali haibebi mimba, hawa wanatoka kwenye kaya zetu

Na upo wakati mwingine serikali ikichukua hatua inachukiwa, Jamii inaikasirikia Serikali na kuinyooshea kidole na nyie ni mashahidi mtaani mnajua kabisa mtoto wa familia fulani ni mwizi, mtoto wa familia fulani ndio anaharibu na kueneza ushoga lakini ukimgusa mwenye familia yake mwenyewe atakavyokubadilikia na mwisho wa siku hata majambazi wanaanzia kwenye ngazi ya familia, kwa hiyo kama tunahitaji kuponya taifaletu basi turudi kwenye msingi na msingi huo Si mwingine bali ni taasisi inayoitwa Familia.
 
Hana Akili Tena sana Hoja dhaifu kabisa

Serikali ni Wajibu wake kuweka sera na sheria Kali zinazo Changia kushape maadili Binaadamu ni kama maji hayana shape , shape ya maji hutegemea na chombo ambacho utatumia kuyaweka , so jamii ikiundiwa sera Bora na sheria Bora Huwa inafuata mkondo kama maji yanavyo fuata mkondo wake ni kama jinsi ambavyo watanzania tulivyo waumini wengi kwenye hizi dini mbili za Cristianism na Muslim ni kwasababu Kuna kama sera ambayo sio rasmi inayo was happen watanzania wote kuangukia katika dini hizo so Kila mtanzania amnaye zaliwa anajikuta anaingia kwenye huo mtego wa hizo Dini

Ni sawa pia na namna ambavyo watanzania wengi wamechagua kuzishabikia Simba na yanga kwasababu jamii ya watanzania ni kama imekubaliana kuwa na sera ambayo sio rasmi inayo zipa team hizo kipaumbele zaidi na hatimae kuwafanya raia wengi wavutiwe kuwa mashabiki wa team hizo

Family yes kwa kiasi kikubwa zinahusika kwenye kuishape jamii lakini kama hakuna sera Bora na sheria Bora zinazolenga kulinda maadili ambayo Yana fundishwa ndani ya family hizo ni kazi bure sana jamii hizo kuweza kuwa na Jamii Bora
 
Huyo hana hata Cheti waliomchagua nao ni wapumbavu Kama huyo Makonda
 
Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha kidole kwa Serikali kwa sabbau Serikali haizai, Serikali haibebi mimba, hawa wanatoka kwenye kaya zetu

Na upo wakati mwingine serikali ikichukua hatua inachukiwa, Jamii inaikasirikia Serikali na kuinyooshea kidole na nyie ni mashahidi mtaani mnajua kabisa mtoto wa familia fulani ni mwizi, mtoto wa familia fulani ndio anaharibu na kueneza ushoga lakini ukimgusa mwenye familia yake mwenyewe atakavyokubadilikia na mwisho wa siku hata majambazi wanaanzia kwenye ngazi ya familia, kwa hiyo kama tunahitaji kuponya taifaletu basi turudi kwenye msingi na msingi huo Si mwingine bali ni taasisi inayoitwa Familia.
Makonda
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Hhii hoja yake kama anabariki utekaji....
 
Huyu mbwiga Bashite hata tofauti ya L na R haifahamu?
 
Anaongea as if serikali owns people while it is vice versa! Bashite na kuiba vyeti! Lisu anamtuhumu kuwa aliongoza genge la kumpiga risasi
 
Back
Top Bottom