MakondaItakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha kidole kwa Serikali kwa sabbau Serikali haizai, Serikali haibebi mimba, hawa wanatoka kwenye kaya zetu
Na upo wakati mwingine serikali ikichukua hatua inachukiwa, Jamii inaikasirikia Serikali na kuinyooshea kidole na nyie ni mashahidi mtaani mnajua kabisa mtoto wa familia fulani ni mwizi, mtoto wa familia fulani ndio anaharibu na kueneza ushoga lakini ukimgusa mwenye familia yake mwenyewe atakavyokubadilikia na mwisho wa siku hata majambazi wanaanzia kwenye ngazi ya familia, kwa hiyo kama tunahitaji kuponya taifaletu basi turudi kwenye msingi na msingi huo Si mwingine bali ni taasisi inayoitwa Familia.
Jizi na lituhumiwa la dili la kumuua Lisu nalo linaongea mavi hapa. Lisu alimtaja kabisa kuwa ndiye aliyeongoza maharamia waliompiga risasi.Hii taka taka hii🤬
Huyu mbwiga Bashite hata tofauti ya L na R haifahamu?Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha kidole kwa Serikali kwa sabbau Serikali haizai, Serikali haibebi mimba, hawa wanatoka kwenye kaya zetu
Na upo wakati mwingine serikali ikichukua hatua inachukiwa, Jamii inaikasirikia Serikali na kuinyooshea kidole na nyie ni mashahidi mtaani mnajua kabisa mtoto wa familia fulani ni mwizi, mtoto wa familia fulani ndio anaharibu na kueneza ushoga lakini ukimgusa mwenye familia yake mwenyewe atakavyokubadilikia na mwisho wa siku hata majambazi wanaanzia kwenye ngazi ya familia, kwa hiyo kama tunahitaji kuponya taifaletu basi turudi kwenye msingi na msingi huo Si mwingine bali ni taasisi inayoitwa Familia.
Na wee mbona unapoteza kumbukumbu? Arusha tulifanya uchaguzi lini?Huyo hana hata Cheti waliomchagua nao ni wapumbavu Kama huyo Makonda
Anaongea as if serikali owns people while it is vice versa! Bashite na kuiba vyeti! Lisu anamtuhumu kuwa aliongoza genge la kumpiga risasiItakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha kidole kwa Serikali kwa sabbau Serikali haizai, Serikali haibebi mimba, hawa wanatoka kwenye kaya zetu