Na bado kuna siku ataanza kuropoka kama chizi!Damu za watu zinamtafuna huyo, Kawa kama chizi anachozungumza hakieleweki kabisa. Watu wana matatizo chungu mzima halafu yeye anatuletea maigizo
Ganga njaa tu huyoMara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
Mhalifu Makonda.Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
huyu jamaa anawatesa na kuwavuruga kabisa kisiasa wapinzani and that is the mission...Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
Makonda ni mpango wa mungu.Wewe ndiye umekuwa kituko na kuonyesha ulivyo mjinga na kipofu wa akili na macho.kwa sababu mikutano ya Mheshimiwa Makonda mwamba wa siasa na Jabali la siasa na kijana jasiri kutoka ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara inafanyika hadharani na siyo gizani.kila mtu na macho yote ya watanzania yanafuatilia kwa ukaribu sana na kujionea namna kazi kubwa anayoifanya ya kupokea kero na kutoa suluhisho kwa kushirikiana na watendaji wa serikali.
Kila mmoja anaona hoja nzito na za kutetemesha zinavyotolewa na Mheshimiwa Makonda,kila.mmoja anaona namna hotuba zake zinavyogusa mioyo ya watanzania kila kona ya nchi na nje ya nchi.kila mtu anaona namna wananchi wanavyofurika na kumiminika katika mikutano yake.
Kwa ufupi amefanikiwa kuteka mioyo ya watanzania na kukiweka chama midomoni mwao Watanzania na kuusambaratisha kabisa upinzani dhaifu kama CHADEMA kila apitapo. Sasa ni Makonda na CCM tu kila kona na kila mahali. Ni Rais Samia tu katika vijiwe na magenge mitaa yote.
Akiwa RAISI sawa lakini sio kuwa RAIS !Makonda ni mpango wa mungu.
Mimi panapo majariwa makonda akiwa raisi katiba ibadilishe kutawala kuwe kwa ukoo mpaka uishe.
Makonda ni chaguo la Watanzania
Kama hatatudisha wale watu alioteka na kuua tutaona mengiUkifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
"Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda"Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
kuishi kwa wazazi na utu uzima ni kitu mbaya sana, toka...Amvuruge nani huyo kilaza wakati anaongea pumba na uongo tu