Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

Si unaona sasa! Unamuita mwenzio nguruwe, mzungu akikuita kima au nguruwe unalalamika ubaguzi, sasa huo ulioonyesha si ni ubaguzi wenyewe!

It's okay, Ameongea hivyo, lakini wewe umekuja na tafsiri nyingine ya kujikomba.

Narudia tena, ili chama chenu kifike mbali basi wekeni udini, ukabila, na ubaguzi pembeni.

Olenimala nkoi?
Na bado alisema Mbowe alimuomba eti amsaidie kuita watu. Sasa kama siyo kujikomba ni nini?

Mbwa wewe!
 
Nashkuru kwa matusi yako, ila chadema kamwe haitashika Nchi. Ndio maana hata huku kanda ya ziwa hamuna nafasi. Dar na Pwani yote ndio kabisaa, mnapoteza muda wenu.
 
Haya ni natatizo ya mtu kuwa na platform kubwa kuliko uwezo wa mtu.

Ujinga haujifichi.

CCM, is this the best you could do? Really?
 
Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.

Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?

Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
Kuwa makini Siyo wa Kumchukulia Poa huyu. Ataifanya CCM ishinde Kwa Kishindo.
 
Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.

Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?

Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
Ndo mwana mpendwa wa mama.
Msimsute sana mnamhuzunisha mama🤣
 
Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.

Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?

Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.

Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?

Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
Aisee kwa Bashite CCM wamelamba tope🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom