Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa amevuluga maandamano hayasikiki anasikika yeye MakondaAmvuruge nani huyo kilaza wakati anaongea pumba na uongo tu
Kila umuonae duniani ni mpango wa Mungu....Makonda ni mpango wa mungu ufanyaji wake kazi hakika watanzania wanahitaji mtu kama yeye
Kati ya vitu ambavyo huwa nashindwa kuielewa Ccm ni haya maigizo inayo fanya mbele ya jamii ya WatanzaniaUkifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
Nani huwa anamsikiliza boga huyo? Mimi alipita karibu na kijijini kwangu nikawa nawakemea mabwege waliotumiwa basi waende kumsikiliza ama kweli nchi ina ma-zuzu.Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
Nafikiri kichwani hayupo sawa. Hana lolote la maana:Na bado kuna siku ataanza kuropoka kama chizi!
Ndugu wewe ni zaidi ya Chawa nakuapia, kwa namna unavyoandika wewe sasa ni kunguni!Wewe ndiye umekuwa kituko na kuonyesha ulivyo mjinga na kipofu wa akili na macho.kwa sababu mikutano ya Mheshimiwa Makonda mwamba wa siasa na Jabali la siasa na kijana jasiri kutoka ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara inafanyika hadharani na siyo gizani.kila mtu na macho yote ya watanzania yanafuatilia kwa ukaribu sana na kujionea namna kazi kubwa anayoifanya ya kupokea kero na kutoa suluhisho kwa kushirikiana na watendaji wa sera

Eti bhana! Aeleze wananchi kwanini gharama za maisha zimekuwa juu na serikali ya chama chake imekuwa kimya.Damu za watu zinamtafuna huyo, Kawa kama chizi anachozungumza hakieleweki kabisa. Watu wana matatizo chungu mzima halafu yeye anatuletea maigizo
Nadhani tatizo kubwa ni aina ya elimu tunayoipata, kwamba tunapuuza mateso ya wenzetu ambayo hayatugusi moja kwa moja. Tunakuwa kama kuku ambao wanaona mwenzao anachinjwa lakini hawastuki na watakwenda kula damu ya mwenzao!Kati ya vitu ambavyo huwa nashindwa kuielewa Ccm ni haya maigizo inayo fanya mbele ya jamii ya Watanzania
Hivi ina kuwaje Ccm imekaa miaka 63 madarakani bado shule hazina vyoo, hatuna maji, hatuna madawa hatuna umeme hatuna kila kitu. Ati wana pita kuulizia kero. It does not sound Kabisa..
Na ndiyo huyo huyo mwenye kutaka mdahalo mkaweka sababu za kitoto!Huyu ndio kiongozi duni kabisa kuwahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM , Ni aibu sana !
Watu wanajazana kwaajilli ya mabangoHuyo jamaa hata hana hadhi ya kujadiliwa...
Kwenye mdahalo ataishia kusema Samia mama yake!Na ndiyo huyo huyo mwenye kutaka mdahalo mkaweka sababu za kitoto!
Wewe ndiye umekuwa kituko na kuonyesha ulivyo mjinga na kipofu wa akili na macho.kwa sababu mikutano ya Mheshimiwa Makonda mwamba wa siasa na Jabali la siasa na kijana jasiri kutoka ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara inafanyika hadharani na siyo gizani.kila mtu na macho yote ya watanzania yanafuatilia kwa ukaribu sana na kujionea namna kazi kubwa anayoifanya ya kupokea kero na kutoa suluhisho kwa kushirikiana na watendaji wa serikali.
Kila mmoja anaona hoja nzito na za kutetemesha zinavyotolewa na Mheshimiwa Makonda,kila.mmoja anaona namna hotuba zake zinavyogusa mioyo ya watanzania kila kona ya nchi na nje ya nchi.kila mtu anaona namna wananchi wanavyofurika na kumiminika katika mikutano yake.
Kwa ufupi amefanikiwa kuteka mioyo ya watanzania na kukiweka chama midomoni mwao Watanzania na kuusambaratisha kabisa upinzani dhaifu kama CHADEMA kila apitapo. Sasa ni Makonda na CCM tu kila kona na kila mahali. Ni Rais Samia tu katika vijiwe na magenge mitaa yote.
Makonda ni zero brainUkifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
Katiba ni mbovu ndiyo maana inazaa watu wabovu"Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda"
unaweza kuta umefika mpaka F4 lakini hujui hata kuandikaMakonda ni mpango wa mungu.
Mimi panapo majariwa makonda akiwa raisi katiba ibadilishe kutawala kuwe kwa ukoo mpaka uishe.
Makonda ni chaguo la Watanzania
Mnuka damu yule?.Makonda ni mpango wa mungu.
Mimi panapo majariwa makonda akiwa raisi katiba ibadilishe kutawala kuwe kwa ukoo mpaka uishe.
Makonda ni chaguo la Watanzania