- Thread starter
- #81
Unafiki wa kichawa huo!Mimi sio chawa mkuu, Rais yeyote kwangu ni sawa ila awe anatenda haki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafiki wa kichawa huo!Mimi sio chawa mkuu, Rais yeyote kwangu ni sawa ila awe anatenda haki.
Kumbe jana kulikuwa na mtiti?!!!!Nasikia Lumumba hakukaliki wanasema safu BUTU kuanzia juu .....Mtiti wa jana umekuwa shubiri
Unafiki wa kichawa huo!
Na ndiyo tegemeo la kuiokoa CCM chama Cha majambawaziHuyu ndio kiongozi duni kabisa kuwahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM , Ni aibu sana !