Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

Kati ya vitu ambavyo huwa nashindwa kuielewa Ccm ni haya maigizo inayo fanya mbele ya jamii ya Watanzania
Hivi ina kuwaje Ccm imekaa miaka 63 madarakani bado shule hazina vyoo, hatuna maji, hatuna madawa hatuna umeme hatuna kila kitu. Ati wana pita kuulizia kero. It does not sound Kabisa..
 
Nani huwa anamsikiliza boga huyo? Mimi alipita karibu na kijijini kwangu nikawa nawakemea mabwege waliotumiwa basi waende kumsikiliza ama kweli nchi ina ma-zuzu.
 
Na bado kuna siku ataanza kuropoka kama chizi!
Nafikiri kichwani hayupo sawa. Hana lolote la maana:

Yaani mtu anaandaa safari kwenda kuwaambia watu kuwa Samia ameletewa form toka mbinguni ya kugombea urais!! Mara oh Mbowe ni ndugu yangu! Yaani Mbowe wa Kilimanjaro awe na ndugu Koromije!! Mara oh, nilipokuwa nje ya uongozi Kadinali Pengo alikuwa anakuja kunisalimia!! Anahangaila kukubalika huku nafsi yake ikikosa amani kwa mauaji aliyoshiriki.

Kwa uovu na uhayawani alioshiriki kuufanya, atahangaika sana kutafuta kujisafisha, lakini hatafanikiwa. Yeye asubirie siku atakapopandishwa kizimbani. Hata kama si leo, au si kesho wala keshokutwa, lakini lazima hiyo siku itafika.
 
Ndugu wewe ni zaidi ya Chawa nakuapia, kwa namna unavyoandika wewe sasa ni kunguni!
fanya kazi uinue kipato chako, acha ukunguni!
 
Ndugu wewe ni zaidi ya Chawa nakuapia, kwa namna unavyoandika wewe sasa ni kunguni!
fanya kazi uinue kipato chako, acha ukunguni!
 
Damu za watu zinamtafuna huyo, Kawa kama chizi anachozungumza hakieleweki kabisa. Watu wana matatizo chungu mzima halafu yeye anatuletea maigizo
Eti bhana! Aeleze wananchi kwanini gharama za maisha zimekuwa juu na serikali ya chama chake imekuwa kimya.
 
Nadhani tatizo kubwa ni aina ya elimu tunayoipata, kwamba tunapuuza mateso ya wenzetu ambayo hayatugusi moja kwa moja. Tunakuwa kama kuku ambao wanaona mwenzao anachinjwa lakini hawastuki na watakwenda kula damu ya mwenzao!

Kwa hiyo sisi Watanzania tunaona umaskini na madhila wanayopata wenzetu hayatugusi. Rasilimali zinazoporwa nchini tunaona sawa tu na hazituhusu!
 
Huyo jamaa hata hana hadhi ya kujadiliwa...
Watu wanajazana kwaajilli ya mabango
Mabango yalio jaa kero
Hicho ndicho kinajaza watu
Wakitegemea watatatuliwa shida zao
Wakati hakuna lolote
 


Kaka rudi upesi, namba ya simu umesahau, maana nimesoma, nikajua ni wewe, ila namba siioni, nashauri weka signature ya namba yako iwe inakuja kwenye kila andiko, pambana Kaka, utatoka tu.
 
Makonda ni zero brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…