Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Kumbuka mods wanasoma...mi simoHahaha aisee kelele kama vile unad.inywa...
Nipe tafsiri ya hilo neno...🤣🤣Kumbuka mods wanasoma...mi simo
🤣🤣🤣 Nataka kulala mpendwa,nitakutafsria keshoNipe tafsiri ya hilo neno...
Sawa ningekua na number yako ningekupigia video call...🤣🤣🤣 Nataka kulala mpendwa,nitakutafsria kesho
Mambo ya wanawake ndio yanakuliza?Wakuu
Huko Arusha, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amesema kuanzia Jumatatu Machi 3, mpaka Machi 7 kila Mwanaume wa Arusha am-post mpenzi au mke wake kwenye mitandao ya kijamiii kuonesha upendo. Na ukiona haujapostiwa basi uende ukafanyiwe maombi tarehe 8 siku ya Wanawake.
Wazee wa Challenge vipi imepokelewa?
🤣🤣🤣Sizipendi hatakidogo....ngoja nije tu tumalizane🥴Sawa ningekua na number yako ningekupigia video call...
Ila Shem nakuona nakuona 😹😹Sawa ningekua na number yako ningekupigia video call...
Hasira na kelele sipendi lakini...🤣🤣🤣Sizipendi hatakidogo....ngoja nije tu tumalizane🥴
😔I know, itakuwa kimyakimyaHasira na kelele sipendi lakini...
Haya kalale sasa... Usiku mwema...😔I know, itakuwa kimyakimya
bashite kila mkoa anakoenda huwa anamiliki watu wote wa mkoa ule,wanaume kwa wanawake, yeye ndiye wa kuwaamulia mambo, na kuna wanaume wanafurahi kweli kumilikiwa na kuelekezwa na huyo aliyeiba vyeti.Wakuu
Huko Arusha, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amesema kuanzia Jumatatu Machi 3, mpaka Machi 7 kila Mwanaume wa Arusha am-post mpenzi au mke wake kwenye mitandao ya kijamiii kuonesha upendo. Na ukiona haujapostiwa basi uende ukafanyiwe maombi tarehe 8 siku ya Wanawake.
Wazee wa Challenge vipi imepokelewa?
Barikiwa,na kwako piaHaya kalale sasa... Usiku mwema...
Vipi wale ombaomba wa Chadema ndio wabunifu?Hawa ndio viongozi wanaoonekana Wabunifu Tanzania
Poor African Country!
🚮🚮Wakuu
Huko Arusha, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amesema kuanzia Jumatatu Machi 3, mpaka Machi 7 kila Mwanaume wa Arusha am-post mpenzi au mke wake kwenye mitandao ya kijamiii kuonesha upendo. Na ukiona haujapostiwa basi uende ukafanyiwe maombi tarehe 8 siku ya Wanawake.
Wazee wa Challenge vipi imepokelewa?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akiongea mbele ya Wanawake wa Arusha leo March 02,2025, Makonda amesema;
"Kuanzia kesho kila Mwanaume, kama kweli wewe ni Mwanaume na huyo Mke uliyenaye au Mpenzi uliyenae unampenda, kuanzia kesho tunaanza challenge hapa Arusha Wanaume kupost Wake zao, kuanzia March 03 hadi March 07,2025 kila Mwanaume anatakiwa kumpost Mke wake, ukiona haujapostiwa njoo tufanye maombi hapa March 08,2025 na Dkt. Samia"
"Kwakuwa March 08 ni siku ya Wanawake hiyo tutaacha kuitumia kwa ajili ya Wake zetu, kwa mfano Mimi nimemuambia Baba yangu mzazi ampost Mke wake na Mimi nitampost Mke wangu, kuanzia kesho tuone Wanawake wanaopendwa na Wanaume zao na ukiona haujapostiwa March 08 uje usikilize hotuba ya Dkt. Samia ndio itakayokuponya"
"Sasa kuna Watu wanasema ooh Mimi sina Instagram page, mpost hata kwenye status basi, yaani wewe kwenye WhatsApp status haumpost, Insta, Facebook haumpost, kwenye DP profile haumuweki, aah atakaa moyoni kweli huyo!?, tunataka kuona Watu wanaojivunia Wake zao, tuitumie Wiki hii kuwapa moyo Wake zetu, kuwapa faraja na kuonesha kwamba tunajivunia uwepo wao kwenye maisha yetu"
Dah unanikumbusha mbali sana Sing'isi asee kwa fundi maamae. Piga kibarua sana patandi. Lima sana carrots sadc. Chuga FOREVER.Hii inajenga barabara hapo Tengeru njia kama za mapito ya ng'ombe?