CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Labda rais wa ukoo wenu upande wa maza wako maana babako hajulikaniAnaendelea kuandaliwa kwa ajili ya Urais wa Taifa letu miaka michache ijayo.
Mwamba Makonda atakuwa Rais na Amiri jeshi mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalamaLabda rais wa ukoo wenu upande wa maza wako maana babako hajulikani
Umwamba wake ni anapokuwa kifuani mwako tu otherwise yeye fala tuMwamba Makonda atakuwa Rais na Amiri jeshi mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama
Mwaka huu ni lazima ufe kwa presha.Umwamba wake ni anapokuwa kifuani mwako tu otherwise yeye fala tu
Acha ushoga jamaaMwamba Makonda atakuwa Rais na Amiri jeshi mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi na usalama
Ufichage huo upumbavu, nani anasubiri kwa hamu uapisho wa hilo jinga, labda we na mke wako. Kweli ndege wafananao huruka pamoja.Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania mitaani wanasubiri kwa hamu kubwa na shauku kubwa sana kumuona Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda akila kiapo cha ukuu wa Mkoa wa Arusha,mbele ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika.
Nimepita maeneo mbalimbali nimeona namna Mwamba Makonda alivyogumzo na kuteka mijadala mbalimbali ya kisiasa mitaani na vijiweni,kubwa zaidi ni namna na juu ya urejeo wa Mwamba huyo serikalini utakavyoleta taswira mpya ya kiutendaji na matokeo chanya kwa wananchi wa Arusha na kanda ya kaskazini,hasa kwa kuzingatia kuwa Arusha ni kitovu cha biashara na utalii kanda hiyo.
Kwa hakika Makonda ni Mwamba kwelikweli anayeishi katika mioyo ya watanzania na kukubalika sana kwa watu. Leo atakapoapishwa mtaona namna mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari vitakavyotekwa na kutawaliwa na Makonda.Mtaona namna atakavyoisimamisha nchi siku atakapotua Arusha,mtaona namna atakavyo pamba kurasa za magazeti na mitandao ya kijamii na Tv zote siku atakapofungua kinywa chake kuzungumza kama mkuu wa Mkoa wa Arusha akiwa katika ardhi ya Arusha. kwa hakika jiji litalipuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo utafikiri Nchi imetoka kupata uhuru wake..
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.View attachment 2953413View attachment 2953414View attachment 2953415View attachment 2953416View attachment 2953417
Nyie sukuma gang mmekuwa wehu kiasi hakuna hospitali ya kuwatibu, nyau km mkuu wa mkoa kuna mtu anamfuatilia? We kweli zombie.Wamepanikk na nini Mamndenyi.
Fact,jamaa ana umalaya wa kisiasa habagui kuwa kimada wa mwanasiasa cha msingi awe CCMWawili hawa ni wapenzi.
Lucas mimi siishi kwa matumaini ya kuteuliwa kama wewe,wala mimi siyo chawa nina maisha yangu na nimejitosheleza ndiyo maana simnyenyekei mwanadamu yoyote yule,tofauti na wewe unayekesha mitandaoni kuwasifia watu ambao hawana muda na wewe kabisa tena wengine wanakuona wewe ni kinyesi tu.Mwaka huu ni lazima ufe kwa presha.
Huyo nyamitako?Chuga jiandanaeni kutrendi mitandaoni. Celebrity kashaingia[emoji1787][emoji112]
Naona umeshaanza kutetemeka utafikiri mgonjwa kabla hata Mwamba hajala kiapo chake. Akila kiapo na kuunguruma Arusha ni lazima utazimia kwa presha.Ufichage huo upumbavu, nani anasubiri kwa hamu uapisho wa hilo jinga, labda we na mke wako. Kweli ndege wafananao huruka pamoja.
Kwa sasa watu wa Arusha watakuwa maarufu kama pesa.Chuga jiandanaeni kutrendi mitandaoni. Celebrity kashaingia🤣👋
Kwani nani kasema nipo hapa jukwaani kutafuta maisha.Lucas mimi siishi kwa matumaini ya kuteuliwa kama wewe,wala mimi siyo chawa nina maisha yangu na nimejitosheleza ndiyo maana simnyenyekei mwanadamu yoyote yule,tofauti na wewe unayekesha mitandaoni kuwasifia watu ambao hawana muda na wewe kabisa tena wengine wanakuona wewe ni kinyesi tu.
Sema kweli yaani upoteze muda wako kuandika magazeti yooote haya humu bila kuwa na matarajio ya kupata kitu(fedha au uteuzi) basi utakuwa kichaa.Kwani nani kasema nipo hapa jukwaani kutafuta maisha.
Nawakubali sana wazee wa Kusini kwani ndiyo walimaliza kibri ya huyu juha kwa kupiga kipapai msafara wake wakawa wanagongana wenyewe kwa wenyewe.Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.
View attachment 2953229