Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

Ndugu zangu Watanzania,

Watanzania mitaani wanasubiri kwa hamu kubwa na shauku kubwa sana kumuona Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda akila kiapo cha ukuu wa Mkoa wa Arusha,mbele ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika.

Nimepita maeneo mbalimbali nimeona namna Mwamba Makonda alivyogumzo na kuteka mijadala mbalimbali ya kisiasa mitaani na vijiweni,kubwa zaidi ni namna na juu ya urejeo wa Mwamba huyo serikalini utakavyoleta taswira mpya ya kiutendaji na matokeo chanya kwa wananchi wa Arusha na kanda ya kaskazini,hasa kwa kuzingatia kuwa Arusha ni kitovu cha biashara na utalii kanda hiyo.

Kwa hakika Makonda ni Mwamba kwelikweli anayeishi katika mioyo ya watanzania na kukubalika sana kwa watu. Leo atakapoapishwa mtaona namna mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari vitakavyotekwa na kutawaliwa na Makonda.Mtaona namna atakavyoisimamisha nchi siku atakapotua Arusha,mtaona namna atakavyo pamba kurasa za magazeti na mitandao ya kijamii na Tv zote siku atakapofungua kinywa chake kuzungumza kama mkuu wa Mkoa wa Arusha akiwa katika ardhi ya Arusha. kwa hakika jiji litalipuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo utafikiri Nchi imetoka kupata uhuru wake..

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.View attachment 2953413View attachment 2953414View attachment 2953415View attachment 2953416View attachment 2953417
Ufichage huo upumbavu, nani anasubiri kwa hamu uapisho wa hilo jinga, labda we na mke wako. Kweli ndege wafananao huruka pamoja.
 
Mwaka huu ni lazima ufe kwa presha.
Lucas mimi siishi kwa matumaini ya kuteuliwa kama wewe,wala mimi siyo chawa nina maisha yangu na nimejitosheleza ndiyo maana simnyenyekei mwanadamu yoyote yule,tofauti na wewe unayekesha mitandaoni kuwasifia watu ambao hawana muda na wewe kabisa tena wengine wanakuona wewe ni kinyesi tu.
 
Chuga jiandanaeni kutrendi mitandaoni. Celebrity kashaingia🤣👋
 
Ufichage huo upumbavu, nani anasubiri kwa hamu uapisho wa hilo jinga, labda we na mke wako. Kweli ndege wafananao huruka pamoja.
Naona umeshaanza kutetemeka utafikiri mgonjwa kabla hata Mwamba hajala kiapo chake. Akila kiapo na kuunguruma Arusha ni lazima utazimia kwa presha.
 
Lucas mimi siishi kwa matumaini ya kuteuliwa kama wewe,wala mimi siyo chawa nina maisha yangu na nimejitosheleza ndiyo maana simnyenyekei mwanadamu yoyote yule,tofauti na wewe unayekesha mitandaoni kuwasifia watu ambao hawana muda na wewe kabisa tena wengine wanakuona wewe ni kinyesi tu.
Kwani nani kasema nipo hapa jukwaani kutafuta maisha.
 
Kesho ndugu yetu Paulo ataapa kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Jitihada zinafanyika kukusanya magari ya kukodi huko Arusha ili apokewe na msafara mrefu pale atakapokaribia kuingini katika jiji hilo.

View attachment 2953229
Nawakubali sana wazee wa Kusini kwani ndiyo walimaliza kibri ya huyu juha kwa kupiga kipapai msafara wake wakawa wanagongana wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom