DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,446 Reaction score 8,215 Apr 4, 2024 #101 Makonda amepelekwa chuga kwa wavuta bangi wenzake.... Oyaaa charii Ni kwere arifu Hainaga kuzingua jombaa
Makonda amepelekwa chuga kwa wavuta bangi wenzake.... Oyaaa charii Ni kwere arifu Hainaga kuzingua jombaa
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Apr 4, 2024 Thread starter #102 CHIEF PRIEST said: Nawakubali sana wazee wa Kusini kwani ndiyo walimaliza kibri ya huyu juha kwa kupiga kipapai msafara wake wakawa wanagongana wenyewe kwa wenyewe. Click to expand... Ila kusini wana namna, hata jiwe walimpelekea moshi, ikabidi fasta arudi kwenye gari
CHIEF PRIEST said: Nawakubali sana wazee wa Kusini kwani ndiyo walimaliza kibri ya huyu juha kwa kupiga kipapai msafara wake wakawa wanagongana wenyewe kwa wenyewe. Click to expand... Ila kusini wana namna, hata jiwe walimpelekea moshi, ikabidi fasta arudi kwenye gari
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Apr 4, 2024 Thread starter #103 Makojo said: Kama mnamponda kumbe mnampaisha!! Kwa sasa Watanzania tunajua aina ya kiongozi tunayemhitaji. Endeleeni tu kushangilia Ulojo Click to expand... Unapost kinyongw saaana
Makojo said: Kama mnamponda kumbe mnampaisha!! Kwa sasa Watanzania tunajua aina ya kiongozi tunayemhitaji. Endeleeni tu kushangilia Ulojo Click to expand... Unapost kinyongw saaana