Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

Makonda amepelekwa chuga kwa wavuta bangi wenzake....

Oyaaa charii
Ni kwere arifu
Hainaga kuzingua jombaa
 
Nawakubali sana wazee wa Kusini kwani ndiyo walimaliza kibri ya huyu juha kwa kupiga kipapai msafara wake wakawa wanagongana wenyewe kwa wenyewe.
Ila kusini wana namna, hata jiwe walimpelekea moshi, ikabidi fasta arudi kwenye gari
 
Kama mnamponda kumbe mnampaisha!! Kwa sasa Watanzania tunajua aina ya kiongozi tunayemhitaji. Endeleeni tu kushangilia Ulojo
Unapost kinyongw saaana
 
Back
Top Bottom