Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

Makonda kuapa kesho kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ataondoka na msafara wa gari moja, tofauti na awali magari sabini

Kwa sifa hizo asingeshushwa kutoka kule juu hadi huku chini atakapokemewa na Mwenezi Taifa atakapofanya ziara zake!
Kaa kwa kutulia wewe. CCM ni chama cha mikakati na mipango kabambe. Mwamba Makonda anakwenda kuitetekeza CHADEMA kanda yote ya kaskazini.
 
Wana Arusha ni wakati mwafaka kuwekeza kwenye CCTV cameras kila mahali, kwa kadri iwezekanavyo, kila mahali.

matajiri na wenye ushawishi kwa jamii mkiweza hata vifungo vya nguo zenu viwe na cameras.
 
Wana Arusha ni wakati mwafaka kuwekeza kwenye CCTV cameras kila mahali, kwa kadri iwezekanavyo, kila mahali.

matajiri na wenye ushawishi kwa jamii mkiweza hata vifungo vya nguo zenu viwe na cameras.
Wamepelekewa jambazi na mzee wa figisu figisu.
 
Anaaenda kunyanyasa watu wa Arusha tu, wafanyabiashara wakae tayari na kafungu ka RC lasivyo utasikia wamekamatwa kwa kosa la kuuza unga.
 
Yaani baada ya kumdhalilisha kiasi hicho ndiyo mnaanza kumpamba?? Maskini Makonda wa watu, pole yake!!


Ataficha wapi uso wake Makonda pale anapoona aliyokuwa anawafokea wanakula viapo vya kuwa mabosi zake??

Hakika Makonda angelikuiwa na uwezo angekataa udhalilishaji kwa kugomea uteuzi huu na kuhamia Burundi.
Tatizo yeye ni zero brain
 
Anaaenda kunyanyasa watu wa Arusha tu, wafanyabiashara wakae tayari na kafungu ka RC lasivyo utasikia wamekamatwa kwa kosa la kuuza unga.
Ndio mwisho wa siasa zenu CHADEMA za kitapeli na kihuni huni kanda ya kaskazini
 
Habari Ya Asubuhi Wana JF Naamini Nyote Ni Wazima Wa Afya.
Hapa ninamzungumzia Poul Makonda Raisi Ajaye Wa Mwaka 2030,naamini nimeamua Kuandika uzi huu asubuhi wengi Hamumpendi Mh.poul Makonda Ingawa Hamjui mlitendao Mungu Awasamehe Kwa hilo,pili raha ya uzi Kuandika Asubuhi lengo ni Kupunguza matusi amabyao ningeyapata kwa Kuwa Hii ramadhani mtakuwa na stara kidogo.

Mh.poul makonda atapokuwa raisi Mwaka 2030 kuna vitu vitakuwa sawa wale wote mnaopenda kung'anng'ania madaraka yaani ulafu wa madaraka hicho kitu kwenye utawala wake hautakuwepo.

Utawala wa mh.poul makonda hautakuwa na chawa hawa chawa tutawatafutia dawa ya kuua wadudu tutaacha watu wafanye kazi,kulima na biashara uchawa hautakuwepo tena

Utawala wa poul makonda utakuwa utawala wa kisasa zaidi wale waliokuwepo bungeni ili uwe mbunge uwe elimu ya chuo kuwa diwani lazima uwe na elimu ya form six na kuendelea

Utawala wa makonda bunge linatunga sheria lakini kama kuna jambo linataka kupitishwa lazima waliosoma sheria ndio wapitishe sio kila mtu ndiooooooo hizi habar za ndioooo hazitakuwepo. Maana hii ndio inatuumiza wengine huku watu waliosoma sheria huwa wanajua sana ndio maana wanajiita wasomi

Utawala wa makonda utakuwa wa mkakati sana haiwezekani watu wakae chuoni miaka zaidi ya mitatu wanasoma sheria alafu form 4 anapitisha kitu cha sheria ndio maana wananchi tunaumia hili swala naamini utawala wa huyu mwamba havitakuqepo.

Mh.poul makonda atadhibiti wizi wa pesa na mtu kujilimbikizia Mali,huyu mwamba kwa alivyo nchi itakuwa sawa umeme hautakatika hovyo,maji yatapatikana kila sehemu,Mh.makonda kajaliwa kipaji cha uongozi.

Sijajua kwa nini binadamu mnapenda kuwa na chuki na mtu ambaye hajawahi kumkwaza mtu,
Wengi wasiompenda Paul makonda ni wale walafi wa madaraka na kupenda kujilimbikizia Mali sasa huyu mwamba huwa anauchungu sana maana anajua nini kinqchoendelea

Makonda ana uwezo mkubwa sana wa kuiongoza nchii hii amini usiamini kuwa huyu mwamba anaakili kubwa sana.
Tanzania inamuhitaji poul makonda kuwa raisi mwaka 2030 na watanzania inamuhitaji mwamba.

Shida moja ya watanzania tunapenda kuambukizana chuki amabyao haina maana yoyote.
Wewe hapo bila kupepesa macho unaweza kunijibu hili swali
Swali langu hili KWANINI UNAMCHUKIA POUL MAKONDA???
Wengi Hawana majibu Ya hili swali shida ujinga wa kuambukizania atakuambia namchukia tu basi sababu hana.

Watanzania wenzangu acheni chuki,chuki haina faida kwetu,tambua makonda ni jiwe lilokataliwa na wahasi au tunawza kusema nabii hakubaliki kwao.

Tuwe na upendo watanzania kila mmoja anahaki ya kumuombe mwezake aishi miaka mingi dunia.

Tumuombe poul makonda aishi miaka mingi ili mwaka huu 2030 akachukue form ya uraisi naamini Ndio rais wetu Ajae mwaka 2030.

Kwa sasa watanzania tuendele kumpa support mh.rais samia hassani suluhu na kumuunga mkono Juhudu anazozifanya la kuliinua uchumi wa TAIFA LETU.



Ahsante.
 
Back
Top Bottom