Sasa kama upo ofisi za bavicha muda wote utasikia habari positive juu ya makonda kweli?Kanda ya Ziwa ya wapi anakosikilizwa Makonda? Nipo Kanda ya Ziwa, hapa Mwanza, sijawahi kumsikia yeyote akitoa positive comments kwa Makonda. Au hao watu anaowasombasomba kwaajili ya mikutano yake, ndio wamekuwa wawakilishi wa watu wote wa kanda ya Ziwa?
Si Makonda wala si Kinana, mwenye ushawishi Kanda ya Ziwa.
Huwa wanakosa peace of mind kutokana na yale waliyowatendea kwa uonevu watu wengine !!Mzee kachoka Sana angepumzika.
Hata kama anasikilizwa lakini asidhalilishe watendaji. Huo ndio ujumbe wa hapa.Haelewi mchezo unavyokwenda,Kanda ya Ziwa Mwanaume anayesikilizwa ni Makonda,anafikiri Mama mjinga kumrudisha Makonda!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
We ni bwege lisilojitambuaKumdhalilisha mtu ni kumtaka afanye kitu ambacho hatakiwi kufanya au kinachochafua utu wake.
Makonda ye anahamasisha utendaji na uwajibikaji bila kuoneana haya. Huyo samia mwenyewe amewashawaambia viongozi wenzie stupid hadharani tena mara mbili.
Kinana anajaribu kufukuzana na Makonda. Kitu ambacho atafeli. Hao kina Kinana walipewa nafasi Makonda akiwa benchi wakadhani wamepewa ulaji. Mwanaume anapiga kazi ndio wanashtuka.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
We kwl hamnazoKwa Samia, Makonda ni muhimu kuliko huyo Kinana.
Wahuni sio sehemu ya mfumo wa nchiKumdhalilisha mtu ni kumtaka afanye kitu ambacho hatakiwi kufanya au kinachochafua utu wake.
Makonda ye anahamasisha utendaji na uwajibikaji bila kuoneana haya. Huyo samia mwenyewe amewashawaambia viongozi wenzie stupid hadharani tena mara mbili.
Kinana anajaribu kufukuzana na Makonda. Kitu ambacho atafeli. Hao kina Kinana walipewa nafasi Makonda akiwa benchi wakadhani wamepewa ulaji. Mwanaume anapiga kazi ndio wanashtuka.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Malofa hayaishagi nchi hii
Acha ukanda we lofa. Sema washamba wenzie wasukuma, Mara, Kagera usiwaunganishe na ushamba wenuHaelewi mchezo unavyokwenda,Kanda ya Ziwa Mwanaume anayesikilizwa ni Makonda,anafikiri Mama mjinga kumrudisha Makonda!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Awekwe babako?Zama za Mzee Kinana zimepita, wakati mwingine Wazee wawe na busara za kukaa pembeni kuwaachia damu Changa madaraka. No thankse
Samia ana akili sana asingekubali ule upuuzi wa Makonda, alifikiri ni km yule mshamba mwenzie?Makonda sasa asuke au anyoe, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi.
Naiona falsafa ya makonda ya kudhalilisha ili apate umaarufu inagonga mwamba, je nini hatma yake?
Atabadili gia angani na kwanza kueneza itikadi ya chama badala ya kutembea huku na kule akidhalilisha watendaji?.
View attachment 2841593
Kwa hiyo lengo laki kutukana Wasukuma?A
Acha ukanda we lofa. Sema washamba wenzie wasukuma, Mara, Kagera usiwaunganishe na ushamba wenu
Blackmail siyo nzuri, tuhuma zichunguzwe, zikiwa na ukweli watuhumiwa washitakiwe mahakamani na hukumu zitolewe kwa haki. Ku black mail watu ni uhaini sio ujanja.Kumdhalilisha mtu ni kumtaka afanye kitu ambacho hatakiwi kufanya au kinachochafua utu wake.
Makonda ye anahamasisha utendaji na uwajibikaji bila kuoneana haya. Huyo samia mwenyewe amewashawaambia viongozi wenzie stupid hadharani tena mara mbili.
Kinana anajaribu kufukuzana na Makonda. Kitu ambacho atafeli. Hao kina Kinana walipewa nafasi Makonda akiwa benchi wakadhani wamepewa ulaji. Mwanaume anapiga kazi ndio wanashtuka.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Tupate orodha ya waliodhalilishwa. Ili Twende sawa...!! Kuna uwezekano Mkuu Makamu ana hoja.Hata kama anasikilizwa lakini asidhalilishe watendaji. Huo ndio ujumbe wa hapa.
Uko timamu kweli? Hoja yangu umelisoma ukailewa kweli? Kwahiyo Komredi Kinana alikuwa anazungumzia habari za kipindi cha Mwamba Jiwe Magufuli? Mbona unachanganya madesa Dogo?Wewe umekuja Duniani jana? Hivi aliyemdhalilisha mkurugenzi wa jiji la Dar hadharani, mbele ya Rais Magufuli, na kisha mzee wa watu kufa ghafla kwa mshtuko, anaitwa nani?
Uko timamu kweli? Hoja yangu umeisoma ukailewa kweli? Kwahiyo Komredi Kinana alikuwa anazungumzia habari za kipindi cha Mwamba Jiwe Magufuli? Mbona unachanganya madesa?Wewe umekuja Duniani jana? Hivi aliyemdhalilisha mkurugenzi wa jiji la Dar hadharani, mbele ya Rais Magufuli, na kisha mzee wa watu kufa ghafla kwa mshtuko, anaitwa nani?