Makonda kusuka au kunyoa: Kinana awataka watendaji wafuate muongozo wa Rais kwa kutodhalilisha watendaji hadharani

Hilo watu hawajaligundua, Kinana ni right hand man wa mama anazungumza kwa niaba yake.
Hili dogo linalo payuka halina muda mrefu pale, kwanza limesha chemsha!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kinana hajawahi kuwa mtu wa Samia
Huyo ni mtu wa Kikwete!
Samia na Kinana wangekuwa wanaimba wimbo mmoja Makonda asingeteuliwa!
 
Kinana anachanganya mambo kusudi. Rais alisema watendaji wa serikali ndio wasidhalilishe viongozi wala haliwahusu viongozi wa chama kwa watendaji wa serikali. Pia ni kinana huyuhuyu alianza mtindo wa kuwasema na kuwakosoa viongozi na watendaji wa serikali hadharani. Pia yafaa kutofautisha kuwasema na kuwakosoa viongozi na watendaji wa serikali na kuwadhalilisha. Ukweli kusemwa hadhari inapokua ndio njia pekee imebaki yenye kuleta tija na matokeo lazima ifanyike. Kinana asije na mbinu chafu kuleta uzibe kwa viongozi wa chama kukosoa vigogo wa serikali waovu na fisadi.
 
Hata kama anasikilizwa lakini asidhalilishe watendaji. Huo ndio ujumbe wa hapa.
Na bila kufanya vile kiki za kisiasa hazinogi kwake kwa sababu ataonekana ni kama wengine tu ! Ilihali mtu yeyote mwenye kutaka aonekane ni wa tofauti na wengine ni lazima awasulubu wenzake mbele ya hadhara ya watu wengi !πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™

Ngoja Tusubiri tuone !!
 
Sasa Makonda amewahi mdhalilisha nani?
 
Viongozi hawakuwahi kufurahia kudhalilishwa mbele ya hadhara ya watu kipindi kile Mwamba yupo hai !
Watakubali kudhalilishwa hivi sasa na Makonda au na mtu mwingine yeyote ??!!
Ngoja Tusubiri tuone !! πŸ™πŸ™
 
Kinana hajawahi kuwa mtu wa Samia
Huyo ni mtu wa Kikwete!
Samia na Kinana wangekuwa wanaimba wimbo mmoja Makonda asingeteuliwa!
Kwani wote uliowataja mbona inasemekana ni wamoja ??!!
Au ??!!
 
Viongozi hawakuwahi kufurahia kudhalilishwa mbele ya hadhara ya watu kipindi kile Mwamba yupo hai !
Watakubali kudhalilishwa hivi sasa na Makonda au na mtu mwingine yeyote ??!!
Ngoja Tusubiri tuone !! πŸ™πŸ™
Hakuna kiongozi atapenda kukosolewa hadharani ila wananchi wanapenda na vigogo wanaogopa sana hiyo. Ni njia ambayo haina budi maana ina matokeo. Wezi na wapigaji hata wakiambiwa vipi vikao vya ndani na wapigaji wenzao ni wazi ni sawa na mbuzi wanapigiana gitaa.
 
mwambieni dogo aache kuchachawa, watendaji wa Serikali wana njia zao za kuwajibishwa. Kinana yupo sahihi.
 
Ngoja Tusubiri tuone mtifuano huu nani ataibuka mshindi !!
β€œ KARMA β€œ !!
 
Kinana hajawahi kuwa mtu wa Samia
Huyo ni mtu wa Kikwete!
Samia na Kinana wangekuwa wanaimba wimbo mmoja Makonda asingeteuliwa!
You know nothing bro, Bashite kawekwa kwa kazi ya muda mfupi hasa baada ya ziara ya Chadema kanda ya ziwa ili apunguze makali ya hiyo ziara. Anatumika kama TP tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…