Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,733
Wana JF habarini..!!
Sio kawaida yangu ku post post thread humu JF kwa hivi karibuni, ila nimekuwa mchangiaji mkubwa kwa njia ya kutoa maoni kwenye thread zingine nyingi tu, ila leo moyo wangu umenituma toka ndani kabisa, nipaze sauti hii juu ya Makonda Christian.
Mh. Makonda, mimi kada wa CCM, kindaki ndaki, kote mitandaoni na kwenye field, baada ya kufikiri kwa kina toka moyoni, roho wa Mungu kanituma niseme wazi wazi, utakuwa Mbunge wa Arusha mjini na utashinda kwa kishindo, na sisi wazawa wa Arusha ingawa mara nyingi hatukai Arusha, tunakupa kila baraka uongoze jimbo hilo kubwa nchini.
Mungu azidi kukupa afya, hekima, maono, busara na moyo wa kutumikia wanyonge na utende haki kama ufanyavyo, na baada ya kusema haya, najua una nafasi kubwa mbeleni, Mungu akutangulie, amina🙋♂️🙏
Mungu mbariki Mwenyekiti wetu na Mh. Rais wetu, Dkt. Samia Suluhu Hassan 🤲🤲🙋♂️ ❇️🪀✅🔰💚💛 Oktoba ✅
Jumapili Njema.
NB: CHADEMA karibuni kutoa povu.
View: https://youtu.be/MAP-WTEdm4g?si=w_rUqjXRq2KeHp0r