Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Ni kazi ngumu Kama nia yako ya kuwa raisi ili upambane na watu,ili uwaumize watu ili upate furaha,Ila kama nia yako ni kuwatumikia watu hakuna kazi nyepesi Kama hio sababu kinachoongoza ni mifumo na we kazi yako ni kuisimamia mifumo tu Mambo yanaenda.Eti Urais ni kazi ngumu? Kama asemaye Barakola ni sawa na titi LA mwanamke kaweza unadhani kuna atakaye shindwa mwingine?
Labda nchi nyingine lakini sio Tanzania
Labda Kama sio wanufaika wa mfumo,Kama ni wanufaika sahau kuhusu Hilo, waafrika ni tofauti na weupe wao Wana umoja wa kitaifa ujali maslai ya taifa hata kwa kulala njaa ili wengine wapone.Sisi mtu anaposhibia katu hawezi kujali au kufikiria maumivu ya wengine sababu ubinafsi ni asili yetu yaani Mimi kwanza.Case study wangekuwa wanajali kuhusu maslai ya taifa tusingefikia hapa kwenye ukomunist.Kigogo alishasema kitambo nadhani majasusi wa kijeshi wameshajipanga kuokoa nchi kwenye ombwe la uongozi!!!
Watu wakicheza October ndie subwoofer ajae wa kudumu hadi boss wake atakapochoka labda 2040 hivi anamuachia ili amlinde nae apige Kama miaka 40 hivi yaani Hadi achoke nae anamuachia atakaemlinda.Cha kushangaza makonda yuko na ndoto za kuwa rais wa nchi hii
Wanaogopa njaa wasipofatainawezekana maana wanachama wa ccm ni kama ng’ombe wanafata amri ya mwenyekiti
Kama imeweza chezea for 5 yrs kipi kitakachozuia,wao utwangwa pesa tu wanatulia,hakuna mnufaika yeyeto akaharibu anaponufaika.Uamuzi pekee upo kwa wananchi Kama wataona ni sawa au wataamua kuupinga au kuukubali uovu ni wao watu.Sioni hilo likitokea na endapo ikawa kweli basi remote control ya nchi imechezewa kuanzia usalama wa taifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cv ni uwezo wako wa kuimba kwaya.
Kama ameweza kuwa RC bila vyeti anashindwa kuwa subwoofer ili waumize na kutesa watu vizuri.
Sio tetesi ni kweli kabisa na Huyu ndio atatumik kuongez pres. Terms
Kwani cha ukuu Wa mkoa anatosha?Tusidharaukl kiti jamani
Kijana hatoshi hata kidogo
🫡🫡Sioni hilo likitokea na endapo ikawa kweli basi remote control ya nchi imechezewa kuanzia usalama wa taifa.
Ukiwa mjinga utaongopewa. Na Kuna waliomuamini huyu aliyeandika hivi[emoji23][emoji23]dah ndo tulifikia uku!!