Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

Mleta hoja amka kumekucha nenda kafanye kazi ya kipato halali acha kuwa kunguni na acha kuota ndoto za alinacha!
 
Unaota wewe magamba matatu, munajifanya nyie ni manabii wa mungu mfu ccm

Aliyekuambia 2030 ccm itakuwepo nani??
 
Hilo linawezekana ila sio kwa ubora wa uongozi, bali ni kutaka kuingiza kiongozi anayekemea maana tuna katiba isiyo na meno. Hivyo tunataka kuletewa kiongozi wa kubweka.
 
angeandika britanicca ningeelewa
 
angeandika britanicca ningeelewa
Aliandika kuhusu regime ya JPM na ikawa kweli Kwa asilimia zote!

Makonda ,binafsi namuona kama zaidi ya mkuu was mkoa,Kuna kitu kinapikwa na state kuhusu huyu mtu!!!

Na watu wanamkubali japo ana tuhuma nyingi nyingi za kiutendaji Kwa regime iliyopita ,japo tuhuma zenyewe zinaweza zikawa no maelekezo ya mfumo !!

Kifupi anaandaliwa
 
kumleta Makonda Meza kuu ni kukaribisha LAANA KUU kutoka kwa Mungu! Mioyo yetu imevuja Damu kwa ajili yake! Mungu atatenda Jambo kabla hata hajaletwa mezani
 
Huyu Bashite anavitu viwili tu ambavyo vinamsubiri maishani baada ya Samia kutoka madarakani:- (1) Kifo au (2) Kifo.

Kipi kitatangulia kingine sijui

Hayo mengine anayoongea mwandishi ni soga za vijiweni.
 
Tumuombee salama na umri mrefu.

Tusijipangie kama sisi ndiyo waumbaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…